Mwanamke niliyetegemea kumuoa nimekuta picha zake group la Telegram

Mwanamke niliyetegemea kumuoa nimekuta picha zake group la Telegram

Hii kitu unafanana na series moja ya kinaijeria inaitwa "hey you".

Kaitazame utapata jbu nn ufanye
 
Wakuu habari za muda huu tena.. nashukuru kwa michango yenu, japo wapo watu wamedhihaki na wengine wamechangia positive...
Mkuu nitumie picha pm Ili nikuambie kama mchumba ni mkongwe kwenye tasnia maana Malaya ambao ni waruri zaidi ya sana wote wanaojiuza mitandaoni hii nchi nawajua.
 
Ila hata mi nikawaza nikakosa jibu utamwambia ulikuwa unatafuta nini huko na umezipata wapi😂 , any way usichukulie ukweli kwa kuhisi request muonane uone kama ni yeye kweli simple tu ila akija sijui utamwambiaje mi simo
 
Soma mrejesho mkuu japo Bado sijafikia maamuzi
Kama hujafikia maamuzi ina maana bado unampenda.

Nakushauri samehe tu kama kaomba ataendelea kuomba msamaha.

Ila kama hadi hiyo jumanne atakuwa haendelei kuomba msamaha basi achana naye.

Kimsingi wanawake karibu wote kwa sasa wanajiuza. Na wale wasiojiuza huwa wana watu wasiopungua watatu na katika hao kuna mmoja ndo anapendwa hasumbuliwi chochote na mbususu anapewa bila masharti yoyote.
 
Nashukuru siwezi kukuta picha ya huyu feminist wangu wa jf huko telegram. Thank God. btw, achana nae huyo binti
 
Shukuru hakukupa UTI sugu ila muhimu mpe Hela braza hapo shida Hela
 
Back
Top Bottom