CLEMYPETER
Member
- May 31, 2018
- 24
- 31
Ila watu jamaniNipe link ya group mkuu na username ntakufikiria chochote kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila watu jamaniNipe link ya group mkuu na username ntakufikiria chochote kitu
Waache wasikie tu kwa wenzaoIla watu jamani
Muite huyo shemeji wako geto uumle kupunguza hasira.Wakuu habari za muda huu tena.. nashukuru kwa michango yenu, japo wapo watu wamedhihaki na wengine wamechangia positive.
Nimeumizwa sana na suala hili kiukweli, pale nilipowekeza nikitegemea neema nakutana na maumivu.. msichana mzuri kiasi kile kaingia kwenye kasumba kama hii, sikia kwa mwenzako tu
kiufupi ilibidi nimtafute mwanadada kwa njia ya simu, tumeongea takribani masaa mawili na dakika 23, maongezi ambayo nimepata kujua upumbavu mwingi zaidi wa huyu mwanadada baada ya mazungumzo na maswali magumu niliyohoji
nimepata kujua rasmi kuwa mwanamke hata kwenye unafiki atamwaga machozi tu na ndio defensive mechanism Yao.. nimemwambia kuna upuuzi kumbe huwa unafanya, unajiuza mitandaoni halafu una-act unanipenda, eti analia nimemuita malaya namdhalilisha.. nimemwambia Dunia Haina siri, hakuna nisichojua zaidi tena.. eti anasema tatzo langu naamini maneno ya watu.. nimemwambia sio maneno, hadi ushahidi upo.. Bado anagoma tu na anaapia kabisa hajawahi kutumia telegram.. ikabidi nimtukane sasa maana hasira zilinipanda kuona unafiki ule ikabidi nimwambie mzigo huo angalia Whatsapp kwako, nikamtumia picha, aisee
Amepiga simu baada ya kuona picha zile, ni KULIA tu anaomba nimsamehe sana kwamba sio michezo yake amefanya tu kwa mara ya kwanza aone reaction kama watu watamsumbua 😡😡😡 ila hakudhamiria kutoka na yeyote ambae angemwendea direct..
hasira niliyopata angekuwa karibu Leo ndio ingekuwa mara yangu ya mwisho kuwa uraiani.. nimemuuliza maswali yote ambayo ni dukuduku zangu baada ya kukutana na upumbavu wake nikamwambia asinifiche kitu.. aisee ni Bora nisingeuliza tu.. Nimeconnect na dots baadhi ambazo zilijitokeza before ambapo baada ya kujibiwa zimenipa patterns kibao juu ya huyu mrembo niliemwamini kupindukia. Wazee wa KATAA NDOA huwa wapo sahihi tu. Nimemwambia aniache kwanza kwakuwa anarudi jumanne ntampa majibu yake kama tutaendelea au la.
Amepiga simu hadi Kero, nimeblock namba zake Kila Kona. Mdogo wake kapiga sjapokea, rafiki yake pia kapiga zaidi ya mara tano na sms juu ila nimepiga kimya maana namuona ni walewale, wanajua upumbavu unaoendelea halafu yanakomaa kuniita shemeji.. 😡😡😡
Ngoja aje
Kwa mazingira ya jana nae alikuwa analika tu sema nilimuweka kundi lilelile la mwenzie. Unaweza kujichotea changamoto zaidi ya ulizonazoMuite huyo shemeji wako geto uumle kupunguza hasira.
Huyo rafiki yake ungemgongaWakuu habari za Jumatano! Naamini mapambano yanaendelea kama ilivyo ada.
Moja kwa moja pasipo kuwachosha, niliwaahidi nitaleta mrejesho nitakapokutana na kuzungumza na Binti baada ya kuwa amerejea kutoka Dar kufata mzigo[emoji19][emoji19]
Sikuwa nimewasiliana nae tena tangu mara ya mwisho nilipoblock namba zake. Sasa jana asubuhi nilipokea simu toka namba ngeni alikuwa ni yeye kaamua kusajili namba mpya Ili anipate akanitaarifu kuwa ndio kaanza safari ya kurudi kutoka daslam, nikasema sawa.
Majira ya saa sita alikuwa ameshafika, akaniuliza wapi nilipo aje, nikamwambia nipo home. Japo nilitamani tukutane sehemu nyingine tofauti na kwangu lakini nilipofikiria juu ya Hali ya maongezi itakavyokuwa ikabidi nimruhusu tu aje. Haikuchukua muda mrefu akawa amefika. Baada ya salamu akaanza kuomba radhi kwa tukio lile, nikamuuliza lengo lake kufanya vile ni nini hasa, eti anasema ni shetani tu. Nikamwambia unadhani hata nikikusamehe nitaweza kusahau maumivu ya ulichokifanya? Akasema ananipenda na hatamani tulichopanga kiishie pale, atajirekebisha na kuwa mwanamke mwema, ameteleza pia kama mwanadamu.. akainuka na kunisogelea kabisa akijaribu kunipapasa huku akiniomba nimsamehe nikajua hapa nikikaa vibaya ntaanza kumuomba msamaha Mimi[emoji23][emoji23]. Nikakaza kiume nikamwambia, kubadili uamuzi sio makosa kwa hiyo nimekusamehe ila kuhusu tulichokipanga sahau! Nenda ukaendelee na maisha mengine.
Vilio vikaanza nikamwambia hata ukilia haitosaidia, heri tumeachana kwa amani tofauti na kupigana au kurushiana matusi.. muda huo roho inaniuma sana maana Binti nampenda kupita maelezo ila tukio alilofanya limezuia moyo wangu kurudi nyuma, ntaumia muda ila nitazoea.. Binti kalia huku akinikumbusha mema na mazuri tuliyofanya na ahadi nyingi tulizopanga pamoja nikaona huyu ananichoma sasa, nikamwambia kwa kufoka, TOKA BANA!! Akainuka huku anasema "sawa naondoka ila najua aliyekwambia, tambua nakupenda sana". Nikampuuza akatoka, aisee nililia kwa uchungu sana baada ya kubaki mwenyewe, niliumia sana nikiwaza tulipotoka hadi hapo ilivyokuwa, Binti ni mzuri ila ndio mwisho tena..
Mida ya saa moja jioni nikiwa naandaa msosi kiaina akawa amekuja yule rafiki yake ambae mwanzo niliwaambia alipiga simu sikupokea siku Ile msala huu umenikuta. Nikamkaribisha fresh tu na kujuliana Hali. Baada ya hapo kaanza kuniambia yule mwanamke wangu alienda anapokaa yeye na kamtukana sana hadi kuapa kuvunja urafiki nae kisa amevunja mahusiano yake na Mimi na sababu kuu ikiwa ni kuniambia kuhusu tabia zake za kujiuza kisiri Siri. Nikamuuliza kivipi? Akasema kwa ambavyo yule mwanadada wangu alivyoenda kishari ni kama alijua yeye ndio alinitonya kuhusu Ile ishu..
Akili ikanicheza haraka kuwa Ina maana huyu siku zote anajua kuhusu tabia za Binti na hakuwahi kuniambia? Nikamuuliza nikiwa serious kama anajua kuhusu hizo tabia za Binti? Akaanza kujikanyaga kanyaga mara ooh najua ila sikukwambia kama ipo hivyo maana Binti yupo serious na amedhamiria kwa dhati kuwa na Mimi hivyo hakutaka kuniambia Ili nisije nikamuacha sababu ananipenda na mara kadhaa amekuwa akimwambia kuhusu kunipenda. Nikaona huyu nae ni walewale,, kuniita shemeji ni upumbavu tu, kwa hiyo unaona naingia shimoni hata kunisanua hakuna ,unaendelea kunikoleza tu niongeze speed? Nikajua huyu ni malaya mwenzake tu, nikamwambia sawa, unaweza kwenda. Kaanza kujivuta eti niazime sijui flash, nikamwambia sina, USO ukiwa serious akawa kajiongeza akaondoka..
Yule Binti kumbe tena alienda akapiga simu kwa mama yangu mdogo ambae mara kadhaa tuliwahi kwenda kumtembelea na kujuzana kuhusu yeye, kamwambia nimemsusia hivyo ajaribu kuongea na Mimi mambo yawe sawa japo hakumwambia sababu ni nini. Mamdogo amenipigia simu kaniuliza ila nikamwambia basi tu, nahisi simhitaji tena, muda tulioandikiwa kudumu utakuwa umetamatika..
Kukitokea Cha zaidi nitawajuza..[emoji120]
Ningeharibu zaidi mkuuHuyo rafiki yake ungemgonga
Wakuu habari za Jumatano! Naamini mapambano yanaendelea kama ilivyo ada.
Moja kwa moja pasipo kuwachosha, niliwaahidi nitaleta mrejesho nitakapokutana na kuzungumza na Binti baada ya kuwa amerejea kutoka Dar kufata mzigo😒😒
Sikuwa nimewasiliana nae tena tangu mara ya mwisho nilipoblock namba zake. Sasa jana asubuhi nilipokea simu toka namba ngeni alikuwa ni yeye kaamua kusajili namba mpya Ili anipate akanitaarifu kuwa ndio kaanza safari ya kurudi kutoka daslam, nikasema sawa.
Majira ya saa sita alikuwa ameshafika, akaniuliza wapi nilipo aje, nikamwambia nipo home. Japo nilitamani tukutane sehemu nyingine tofauti na kwangu lakini nilipofikiria juu ya Hali ya maongezi itakavyokuwa ikabidi nimruhusu tu aje. Haikuchukua muda mrefu akawa amefika. Baada ya salamu akaanza kuomba radhi kwa tukio lile, nikamuuliza lengo lake kufanya vile ni nini hasa, eti anasema ni shetani tu. Nikamwambia unadhani hata nikikusamehe nitaweza kusahau maumivu ya ulichokifanya? Akasema ananipenda na hatamani tulichopanga kiishie pale, atajirekebisha na kuwa mwanamke mwema, ameteleza pia kama mwanadamu.. akainuka na kunisogelea kabisa akijaribu kunipapasa huku akiniomba nimsamehe nikajua hapa nikikaa vibaya ntaanza kumuomba msamaha Mimi😂😂. Nikakaza kiume nikamwambia, kubadili uamuzi sio makosa kwa hiyo nimekusamehe ila kuhusu tulichokipanga sahau! Nenda ukaendelee na maisha mengine.
Vilio vikaanza nikamwambia hata ukilia haitosaidia, heri tumeachana kwa amani tofauti na kupigana au kurushiana matusi.. muda huo roho inaniuma sana maana Binti nampenda kupita maelezo ila tukio alilofanya limezuia moyo wangu kurudi nyuma, ntaumia muda ila nitazoea.. Binti kalia huku akinikumbusha mema na mazuri tuliyofanya na ahadi nyingi tulizopanga pamoja nikaona huyu ananichoma sasa, nikamwambia kwa kufoka, TOKA BANA!! Akainuka huku anasema "sawa naondoka ila najua aliyekwambia, tambua nakupenda sana". Nikampuuza akatoka, aisee nililia kwa uchungu sana baada ya kubaki mwenyewe, niliumia sana nikiwaza tulipotoka hadi hapo ilivyokuwa, Binti ni mzuri ila ndio mwisho tena..
Mida ya saa moja jioni nikiwa naandaa msosi kiaina akawa amekuja yule rafiki yake ambae mwanzo niliwaambia alipiga simu sikupokea siku Ile msala huu umenikuta. Nikamkaribisha fresh tu na kujuliana Hali. Baada ya hapo kaanza kuniambia yule mwanamke wangu alienda anapokaa yeye na kamtukana sana hadi kuapa kuvunja urafiki nae kisa amevunja mahusiano yake na Mimi na sababu kuu ikiwa ni kuniambia kuhusu tabia zake za kujiuza kisiri Siri. Nikamuuliza kivipi? Akasema kwa ambavyo yule mwanadada wangu alivyoenda kishari ni kama alijua yeye ndio alinitonya kuhusu Ile ishu..
Akili ikanicheza haraka kuwa Ina maana huyu siku zote anajua kuhusu tabia za Binti na hakuwahi kuniambia? Nikamuuliza nikiwa serious kama anajua kuhusu hizo tabia za Binti? Akaanza kujikanyaga kanyaga mara ooh najua ila sikukwambia kama ipo hivyo maana Binti yupo serious na amedhamiria kwa dhati kuwa na Mimi hivyo hakutaka kuniambia Ili nisije nikamuacha sababu ananipenda na mara kadhaa amekuwa akimwambia kuhusu kunipenda. Nikaona huyu nae ni walewale,, kuniita shemeji ni upumbavu tu, kwa hiyo unaona naingia shimoni hata kunisanua hakuna ,unaendelea kunikoleza tu niongeze speed? Nikajua huyu ni malaya mwenzake tu, nikamwambia sawa, unaweza kwenda. Kaanza kujivuta eti niazime sijui flash, nikamwambia sina, USO ukiwa serious akawa kajiongeza akaondoka..
Yule Binti kumbe tena alienda akapiga simu kwa mama yangu mdogo ambae mara kadhaa tuliwahi kwenda kumtembelea na kujuzana kuhusu yeye, kamwambia nimemsusia hivyo ajaribu kuongea na Mimi mambo yawe sawa japo hakumwambia sababu ni nini. Mamdogo amenipigia simu kaniuliza ila nikamwambia basi tu, nahisi simhitaji tena, muda tulioandikiwa kudumu utakuwa umetamatika..
Kukitokea Cha zaidi nitawajuza..🙏
Mzee w KATAA NDOA hatimae umerudiSasa hapo si ungemla shemeji??😳
#YNWA
Maamuzi ya kiume umefanya, usiendekeze hsiaWakuu habari za Jumatano! Naamini mapambano yanaendelea kama ilivyo ada.
Moja kwa moja pasipo kuwachosha, niliwaahidi nitaleta mrejesho nitakapokutana na kuzungumza na Binti baada ya kuwa amerejea kutoka Dar kufata mzigo[emoji19][emoji19]
Sikuwa nimewasiliana nae tena tangu mara ya mwisho nilipoblock namba zake. Sasa jana asubuhi nilipokea simu toka namba ngeni alikuwa ni yeye kaamua kusajili namba mpya Ili anipate akanitaarifu kuwa ndio kaanza safari ya kurudi kutoka daslam, nikasema sawa.
Majira ya saa sita alikuwa ameshafika, akaniuliza wapi nilipo aje, nikamwambia nipo home. Japo nilitamani tukutane sehemu nyingine tofauti na kwangu lakini nilipofikiria juu ya Hali ya maongezi itakavyokuwa ikabidi nimruhusu tu aje. Haikuchukua muda mrefu akawa amefika. Baada ya salamu akaanza kuomba radhi kwa tukio lile, nikamuuliza lengo lake kufanya vile ni nini hasa, eti anasema ni shetani tu. Nikamwambia unadhani hata nikikusamehe nitaweza kusahau maumivu ya ulichokifanya? Akasema ananipenda na hatamani tulichopanga kiishie pale, atajirekebisha na kuwa mwanamke mwema, ameteleza pia kama mwanadamu.. akainuka na kunisogelea kabisa akijaribu kunipapasa huku akiniomba nimsamehe nikajua hapa nikikaa vibaya ntaanza kumuomba msamaha Mimi[emoji23][emoji23]. Nikakaza kiume nikamwambia, kubadili uamuzi sio makosa kwa hiyo nimekusamehe ila kuhusu tulichokipanga sahau! Nenda ukaendelee na maisha mengine.
Vilio vikaanza nikamwambia hata ukilia haitosaidia, heri tumeachana kwa amani tofauti na kupigana au kurushiana matusi.. muda huo roho inaniuma sana maana Binti nampenda kupita maelezo ila tukio alilofanya limezuia moyo wangu kurudi nyuma, ntaumia muda ila nitazoea.. Binti kalia huku akinikumbusha mema na mazuri tuliyofanya na ahadi nyingi tulizopanga pamoja nikaona huyu ananichoma sasa, nikamwambia kwa kufoka, TOKA BANA!! Akainuka huku anasema "sawa naondoka ila najua aliyekwambia, tambua nakupenda sana". Nikampuuza akatoka, aisee nililia kwa uchungu sana baada ya kubaki mwenyewe, niliumia sana nikiwaza tulipotoka hadi hapo ilivyokuwa, Binti ni mzuri ila ndio mwisho tena..
Mida ya saa moja jioni nikiwa naandaa msosi kiaina akawa amekuja yule rafiki yake ambae mwanzo niliwaambia alipiga simu sikupokea siku Ile msala huu umenikuta. Nikamkaribisha fresh tu na kujuliana Hali. Baada ya hapo kaanza kuniambia yule mwanamke wangu alienda anapokaa yeye na kamtukana sana hadi kuapa kuvunja urafiki nae kisa amevunja mahusiano yake na Mimi na sababu kuu ikiwa ni kuniambia kuhusu tabia zake za kujiuza kisiri Siri. Nikamuuliza kivipi? Akasema kwa ambavyo yule mwanadada wangu alivyoenda kishari ni kama alijua yeye ndio alinitonya kuhusu Ile ishu..
Akili ikanicheza haraka kuwa Ina maana huyu siku zote anajua kuhusu tabia za Binti na hakuwahi kuniambia? Nikamuuliza nikiwa serious kama anajua kuhusu hizo tabia za Binti? Akaanza kujikanyaga kanyaga mara ooh najua ila sikukwambia kama ipo hivyo maana Binti yupo serious na amedhamiria kwa dhati kuwa na Mimi hivyo hakutaka kuniambia Ili nisije nikamuacha sababu ananipenda na mara kadhaa amekuwa akimwambia kuhusu kunipenda. Nikaona huyu nae ni walewale,, kuniita shemeji ni upumbavu tu, kwa hiyo unaona naingia shimoni hata kunisanua hakuna ,unaendelea kunikoleza tu niongeze speed? Nikajua huyu ni malaya mwenzake tu, nikamwambia sawa, unaweza kwenda. Kaanza kujivuta eti niazime sijui flash, nikamwambia sina, USO ukiwa serious akawa kajiongeza akaondoka..
Yule Binti kumbe tena alienda akapiga simu kwa mama yangu mdogo ambae mara kadhaa tuliwahi kwenda kumtembelea na kujuzana kuhusu yeye, kamwambia nimemsusia hivyo ajaribu kuongea na Mimi mambo yawe sawa japo hakumwambia sababu ni nini. Mamdogo amenipigia simu kaniuliza ila nikamwambia basi tu, nahisi simhitaji tena, muda tulioandikiwa kudumu utakuwa umetamatika..
Kukitokea Cha zaidi nitawajuza..[emoji120]
Natambua mkuu, ila haikuwa rahisi. For every action there is an equal and opposite reaction.. jinsi nilivyokuwa nampenda ndivyo maumivu ya kumkisa yalirudi kwa nguvu hiyo hiyoMaamuzi ya kiume umefanya, usiendekeze hsia
Piga moyo konde utakua sawa ni maumivu ya mda tuNatambua mkuu, ila haikuwa rahisi. For every action there is an equal and opposite reaction.. jinsi nilivyokuwa nampenda ndivyo maumivu ya kumkisa yalirudi kwa nguvu hiyo hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UShawahi kumkagua na ile sabufa a.k.a spika?
Maana yaeza kua we unapewa fronti door af masela wa telegram wanapita uani tena wengi kama wazamiaji wa chakula ya harusi uswazi
Hii kitu unafanana na series moja ya kinaijeria inaitwa "hey you".
Kaitazame utapata jbu nn ufanye
Ili yeye aonekane Mtakatifu?Unaweza mwambia kuna mtu kakatumia picha upo kwenge group la malaya.
Namba za nini mkuu?Mkuu nipe namba
Sema wanaijeria wanajtahd asee Kuna nyngne inaitwa far from home nayo ni Kali Ina episodes Tano tuMwamba ile movie ni kali
Yule manzi anajua kucheza na nyakati halafu pesa haikufanyie upendwe si mwishoni yule mwamba wa pesa alikimbia manzi akarudi kwa mshkaji wa IT yule domo zege aliekua anampigisha nyeto usiku