Mwanamke niliyewahi kumpenda mwanzo akanikataa, ameniambia kwa aina ya ugonjwa anaoumwa sasa yupo tayari kufia mikononi mwangu

Mwanamke niliyewahi kumpenda mwanzo akanikataa, ameniambia kwa aina ya ugonjwa anaoumwa sasa yupo tayari kufia mikononi mwangu

Huyo demu haumwi, huo ni mtego achana nae haraka, hatutaki upotee bado kuna mabinti wanakuhitaji mwamba.

Nb. Mwanamke ukimpa chance akizingua usirudi nyuma atakudharau

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye maisha (Shits happen )

Pili Inavyoonekana bado mna ukaribu, cha kufanya kama nikumjulia Tu Hali kamjulie .

Hayo mengine nyie wenyewe mtaamua ,

Unaweza ukamkazia Tu vile vile kwenda kumjulia Hali Tatizo hiyo inaweza kuwa na gharama kubwa kwako Kwa siku za usoni .
 
Yan mtu ana wazazi,ana Yesu ana mtume halafu achague kufia mikononi mwako, achana nae huyo atakuangushia jumba bovu,km hakutaka mazoea na ww alivyokua wa moto bas achana nae
 
Huu uzi una dalili ya kuwa chai ila kama ni kweli basi mwambie aache ujinga afe tu kwani nani atabaki duniani hapa, its matter of time.
Huu uzi ni chai isiyo na viungo maana ulishawahi letwa uzi wenye same story na huu japo simkumbuki aliyeuleta😄😄😄
 
Kwani kuumwa ndio kufa?
So hayo madanga yake ya zamani yamemkimbia kisa kuumwa au?
Ugonjwa wa figo sio kabisa mkuu kusavaivu miaka 5-7 mbele ni kipengele.
 
IMG_4006.jpg
 
Kujuliana hali ni muhimu kibinadamu sio lazima awe yeye kwa mtu yeyote yule....kamjulie hali ila usifanye zaidi ya hapo
 
Hii ndiyo fursa ya pekee ya kuonyesha kwa vitendo upendo wako kwake. Mwambie mkaongee na Madokta muone uwezekano wa kumpatia Figo moja na wewe ubakie na moja.

Endapo atapona atakuabudu kama Mungu wake maisha yake yote na mtaishi kwa furaha.

La, kama na wewe ulikuwa mpitaji tu kama wengine, basi ukamwone umpe Pole zake uendelee na safari yako.
 
Habari za jumapili wakuu.

Leo kuna kitu kimenichanganya kidogo.
Kuna binti nilimpenda kama 10 yrs ago huko, kama mjuavyo mabinti hawa wakiwa in their early 20's wanavyokuaga, baada ya battle ya hapa na pale kwa kipindi kile nikaona sina nguvu
Alikukataa akiwa na nguvu anataka awe nawe akiwa hana nguvu akubebeshe mzgo. Hata Mungu anataka umtumikie ukiwa kijana na nguvu zako
 
Anataka umpe figo huyo.
Ukipona atarudi kule kule,
Kamavipi mwambie m nauza nimechoka kinyama(economically) laki 5 anachukua[emoji848]
 
Achana naye,nenda hospitali yoyote nyingine katoe msaada,huyo achana naye.Au ni ndugu yako?Anataka uwe na mjane mda huu?
 
Mi kuna mwanamke story kama hii hii... aisee basi tuu haumwi yule ila akiumwa sio tuu figo haga moyo nampa. Nilipenda kweli ila G ulikataa kabisa kunipa nafasi.. sijawah kupenda tena kama vile na imeniafect sana. G, wasalimie mgololo
 
Habari za jumapili wakuu.

Leo kuna kitu kimenichanganya kidogo.
Kuna binti nilimpenda kama 10 yrs ago huko, kama mjuavyo mabinti hawa wakiwa in their early 20's wanavyokuaga, baada ya battle ya hapa na pale kwa kipindi kile nikaona sina nguvu...
mafogo na zile pombe za campan na mafogo zimemwaribu figo sasa anataka aje malizia shida kwako ama sio mjulie hali afu funga tinted tafuta elaa wewe
 
Habari za jumapili wakuu.

Leo kuna kitu kimenichanganya kidogo.
Kuna binti nilimpenda kama 10 yrs ago huko, kama mjuavyo mabinti hawa wakiwa in their early 20's wanavyokuaga, baada ya battle ya hapa na pale kwa kipindi kile nikaona...
Fanya kama anavo taka na atapona
 
Yaani unamtihani mgumu sana MKuu,inawezekana yupo serious hatanii,but think about it,utamu kawapa mafogo,ila wewe anataka akufie?kama sio upuuzi ni nini
 
Back
Top Bottom