Mwanamke niliyewahi kumpenda mwanzo akanikataa, ameniambia kwa aina ya ugonjwa anaoumwa sasa yupo tayari kufia mikononi mwangu

Mwamba kampe pole ila mwambie usha oa hata kwa kuongopea.
 
Kama ni chai ongeza tangawizi ila kama ni kweli Be a Man tofautisha huruma na mapenzi
 
Hii story yako vijana wengi wanakutana na mabinti wa namna hii. Mfano katika pilika zangu nilitongozaga msichana flani akawa analeta zile nataka sitaki kumbe anasoma wapi kuna ulaji mzuri na akawa anapanga wanaume atakavyo maana alikua wa moto kweli. Siku nazo/muda huwa ni mwalimu mzuri. Miaka ikasogea kama 3 mbele nashangaa siku moja namba mpya kawa wew hivyo inanitafuta mara anaanza kwa kulia na kujielezea kuwa amenikosea sana na mm ndio mwabaume nilikua sahihi kwake ila ukuaji tu ulimchanganya😁😁😁nikacheka mie nikamimina kilimanjaro yangu nimsikilize vzr tena. Akaendelea unajua now nimejifunza naomba unisamehe na kama huna mtu yupo tayari niwe nae na atanizalia. 😁😁😁😁 majibu yangu sasa yalikuwa hivi "mimi na wewe hatuwezi kuwa hata wapenzi wa usku mmoja tena na hilo sahau" usiruhusu mwanamke alokuonesha dharau awe upande wako tena.
 
utakuja kulia vibaya wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…