DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Nimekaa Zangu Lonely naangalia VIDEO MUSIC mbalimbali. Nimefika kwenye video ya nyimbo ya OTILE BROWN - Hi. Nmestack hapo mara kadha wa kadha.
Nmeshaweka repeat Hii video ni mara ya 5 Sasa Niko pale pale Kwenye Hi- OTILE BROWN. Jinsi mdada anavyodemka na kujifaragua kimahaba kwa Otile brown. Basi Najiskia Moyo wangu unasuuzika sana[emoji4].
Nmejikuta nasahau kabisa kama apa nilipo nadaiwa madeni[emoji18]. Aisee, Mwanamke Romantic ni mtamu sana Asikwambie mtu[emoji39]. UNAWEZA JIKUTA UMEMFANYIA KITU MWANAMKE, WATU WAKAHISI UMEROGWA.
Kumbe Ni manjonjo Yake TU madogo madogo YAMEKUZUZUA[emoji847]