luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Wewe wacha kuniongelea maana nina jambo langu moyoni๐๐๐Sisi wanawake tukiwa na hidden agenda na hasa kama tuna jambo letu tunalitaka kuna ka romance tunakawekaga halifurukuti dume lolote. ๐๐๐คญ๐คญ