Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
All the time yani😅😅😅 hawa watoto hawaelewi tu kuwa mwanamke akiwa romantic ni tiba na ndio maana michepuko inatutekaga mazima😅 sababu wanakuwaga romantic kichiziKabisa,
Mwanamke romantic atake Nini kisifike, yaan unajikuta hutaki apate shida yyt.
Ili mradi TU mood yake ikuburudishe na kukusuuza nafs yako.