Mwanamke Romantic anafariji na kuburudisha sana

Katika mahusiano/Ndoa, ukimpata mwanamuke mwenye mapenzi ya kweli, mwenye huruma na kukuliwaza pale unapopatwa na mitihani mbalimbali wewe kama mwanaume, basi hapo umepata haswaa mwanamke anaekufaa katika maisha. Haijalishi una hela au huna.

Alakini mabinti wa sikuizi most of them vibuli sana na zalau juu. Na ndiomana hawadumu katika ndoa.
 
Cameltoe ni nn mkuu!
 
Wengi kauli chafu na kejeli ndio zimewajaa sikuhizi!
 
Sisi wanawake tukiwa na hidden agenda na hasa kama tuna jambo letu tunalitaka kuna ka romance tunakawekaga halifurukuti dume lolote. 😁😁🤭🤭
Tofautisha romanticness ya kitapeli na ile genuine!

Hii rahisi kuigundua sana kwa sababu hufanyika muda pekee ambao mwanamke anashida hapo atakuita majina mazuri mazuri ila akishatimiziwa anajirudi kuwa wa baridi kama panga lililolala nje!

Ingine ni akiwa katoka kukupiga tukio akija lazima atajifaragua na kujitia anakujali sana sikuhio kumbe mwizi!
 
Nyie ndo mnatakiwa kutofautisha.

Na sio nyote mnaoweza
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Wanaume hamtabiriki kabisa unaweza kuwa na Mke Romantic nyumbani lakini ukawa unachepuka na Wanawake ambao siyo Romantic.
 
wake zetu huku matejoo akiamka anakuja kukuskutulia na limswaki lake wakati unakunywa chai huku anabonga kinyama!!hahaha

Sasa hiyo ni life style yenu............... unasukutua je unatoka bafuni? nijuavyo mimi mtu huswaki wakati anaoga au wakati wa kwenda kulala na anaswaki huko bafuni kila kitu kinaishia huko unatembea na mswaki mimi nikiona hata chai aliyoiandaa sigusi kabisa ni uchafu wa hali ya juu.

Hapo kwa huyo ndio maisha waliojiwekea maana hata mwanaume anambembeleza kwa sauti nzuri ya asbh............... sio unaamka vest yangu iko wapi au chupi sijui nini saaa ngapi?
 
Yeah, nimepiga saaana huyu bidada,ila msiwaambie watu,sipendi ku expose mambo yangu kwa strenjazi
 
Ukiwa na Mpunga kisha ukawa hauna mambo mengi na mwanamke akakuamini basi uta enjoy romantic zake!
 
Mwanamke kua romantic nadhan Ni tabia TU ya ndan ya mwanamke mwnyw jins MUNGU alivyomuumba.

Pesa Ina nafs ila sio kivile sana
Umeongea ukweli kbs. Ukimpata mwanamke ambae yupo romantic trust me hata umri wako wa kuishi duniani unaongezeka. Ndio maana michepuko wanatuiba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…