Mwanamke Romantic anafariji na kuburudisha sana

Sisi wanawake tukiwa na hidden agenda na hasa kama tuna jambo letu tunalitaka kuna ka romance tunakawekaga halifurukuti dume lolote. 😁😁🀭🀭
Wewe wacha kuniongelea maana nina jambo langu moyoniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeongea ukweli kbs. Ukimpata mwanamke ambae yupo romantic trust me hata umri wako wa kuishi duniani unaongezeka. Ndio maana michepuko wanatuiba sana
Mfano mzuri,
Muone mzee Mwinyi anavoishi
 
wake zetu huku matejoo akiamka anakuja kukuskutulia na limswaki lake wakati unakunywa chai huku anabonga kinyama!!hahaha
Wangu ye akiamka unaeza sema anakimbizwa na mizimu maana anakurupuka kitandani sio poa umejifunika utashangaa umefunuliwa upande mmoja,
 
Wazinzi wanapotaka kuhalalisha kuchepuko kwao. Yuko romantic sana yule K yaani ukiwa naye ni raha mwanzo mwisho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mnato yule anakamua hadi tone la mwisho na kufinyia kwa ndani ni fundi sana 🀣🀣🀣🀣🀣
All the time yaniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hawa watoto hawaelewi tu kuwa mwanamke akiwa romantic ni tiba na ndio maana michepuko inatutekaga mazimaπŸ˜… sababu wanakuwaga romantic kichizi
 
Mzee watoto romantic ni kiboko
 
Reactions: BAK
Na Kuna baadhi ya wanawake wakiwa uchi Wanatisha sana.

Hawavutii kabisa kuwatizama, labda wavae nguo ndo utawatamani
Kabisa mkuu,
Na hii inawakuta sana wanawake wenye miili (vibonge). Aisee akivaa ngui unaona bonge la toto akivua daaaah mwili unavurugika kumbe aliupanga ndani ya nguo aisee. Akivua unaswajika πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabisa mkuu,
Na hii inawakuta sana wanawake wenye miili (vibonge). Aisee akivaa ngui unaona bonge la toto akivua daaaah mwili unavurugika kumbe aliupanga ndani ya nguo aisee. Akivua unaswajika [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]eti aliupanga ndan ya nguo
 
Ni kweli kabisa... Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…