Ushauri huu nilipewa na rafiki yangu ambae ni mtu wa india wakati bado tupo vijana, mwanamke sahihi wa kuoa sio yule unaempenda sana, lakini mapenzi lazima yawepo angalau kwa asilimia kumi, ukiangalia katika nchi ambazo zina ndoa nyingi zinadumu sana basi india ndo inaongoza duniani, japokua kwa kipindi kile hakukua na taarifa nyingi sana za maisha ya mtu mmoja mmoja india, lakini nlibahatika kujuana nae one to one, kuangalia miaka ya karibuni basi ushauri ule uligeuka kua kwel
Mwanamke ni binadam ambae huandaliwa mazingira ya kuishi na kuyatii kama kanuni yake binafsi, mwanamke ambae amepitia changamoto za maisha hua ana chembe za masculinity ndan yake of which sio kitu unataka, mwanamke ni roho nyepesi ya familia, mtu ambae mtoto atamkimbilia iwapo baba amekasirika ama akifanya kosa anaweza kuja kumuomba mama amtetee kwa baba, ili mwanamke awe katika utimamu huu basi anatakiwa awe amelelewa katika familia ya wazazi wote 2, hakuna exception (Maisha yana mengi lakini hauna budi kuzingati)
Mwanamke anapozaliwa anatakiwa apite katika familia ambayo baba akikasirika basi mama anatumika kama moyo wa upendo, anaweza kwenda kumuombea msamaha kwa niaba yake kwa baba wa mtoto! mtoto aliepita kwenye familia ya namna hii ni wanawake bora sana na wanajua thamani ya sauti ya kiume ndan ya familia anapoolewa (ataongezewa machache kwenye mafundisho ya ndoa)
Hivo basi cha kwanza kabisa cha kuzingatia, AWE AMELELEWA NA WAZAZI WOTE
cha pili ni lazima awe timamu wa akili, nkimaanisha lazima ajue anaingia kwenye maisha mapya na sio kwa sababu alisukumizwa, unaweza ukadhan hakuna watu wanasukumizwa ila mabinti wakifika umri wa 22 mpakak 26, lazima familia zianze kumchangamsha, vp unaolewa lini? hili swala linamfanya afanye maamuzi bila utimamu sahihi
Ya mwisho ambayo ndo kwa sisi wanaume, unatakiwa umpende kwa kiasi cha kawaida, usiwe yule mtu mara unalia, unapiga magoti kwa kifupi utashusha heshima yako kupitiliza, hiki kitu kinamfanya mwanamke aone kumbe kuna namna nammudu, inaweza isiwe leo ama kesho lakini ipo siku atakunyooshea sauti akikumbuka kuna sehem nyuma ulishawahi kuonyesha udhaifu. lakini pia ukimpenda mtu anaekupenda ni rahisi kurushiana vitu mkiwa katika mikwaruzano, vitu hua mbaya sana kwan maswala haya hukaa kwenye moyo badala ya akili, mkiwa wapenzi sana basi amini kuna sku yote yaliokua yanafanyika alikua anayaweka moyon ipo siku isiokua na jina, tatizo moja litafanya utashindwa kubeba familia yako kwan hata ukisuluhisha lililotokea una mengine 100 kwenye furushi kwa kutumia tukio la mwisho, Mkipendana sana moyo hutumika kufanya maamuzi, kama mna furaha mtafanya maamuzi yenye busara sana kama kununuliana vitu, kujaliana lakini upande wa pili mambo hua mabaya sana, kurushiana vitu ni sehem ndogo sana ya nini kinaweza kutokea, katika umri wangu huu nimeona mengi ikiwemo kulogana, kutoana uhai saa ingine kufilisiana!
Ewe kijana ambae hujaoa zingatia haya