Mwanamke sio mtu wa mchezo,,,true event!!!

Huyo jamaa mwenyewe alitaka kudanganywa sababu kwani mgeni hawezi lala hapo sebleni au si angesubiri aje ndipo wajue namna ya kumlaza huyo mgeni au kama ndio jamaa kuondoka angeondoka.

Mwenyewe ndio sababu ya kufanyiwa hiyo mnayoiita akili sababu hajui kijiongeza. Pole kwake.

Hivyo kachukua maamuzi gani?
 
Wanawake wanaakili nyingi sana kuliko sisi wanaume...ndyo maana huwa nawaheshimu na kuwaogopa!
Wengi wana ujasiri wa ajabu. Hawaogopi madhara ya kile wanachofanya. Fikiria ninja Medrick angekuja na maninja wenzie kulipa kisasi kwa mchizi wa bodaboda! Si nyumba ya watu ingechafuka?

Nawaheshimu wanawake popote walipo ujasiri wao ndio unapelekea baadhi yao kuzaa na wanaume maboya waoga wanaotelekeza watoto wao na mwanamke anabeba majukumu yote.
 
Huyo jamaa mwenyewe alitaka kudanganywa sababu kwani mgeni hawezi lala hapo sebleni au si angesubiri aje ndipo wajue namna ya kumlaza huyo mgeni au kama ndio jamaa kuondoka angeondoka.

Mwenyewe ndio sababu ya kufanyiwa hiyo mnayoiita akili sababu hajui kijiongeza. Pole kwake.

Hivyo kachukua maamuzi gani?
Uko sahihi!! Huyo jamaa naye hazimtoshi tu, hivi nampishaje mgeni wangu kitanda changu na mke wangu?

Huyo mgeni kwanini asingemsubiri halafu akampeleka lodge?

Au ndo "ben ten" kakaribishwa kwenye geto la mwanamke hivyo anaamrishwa vile mwenye geto anataka!?
 
Amedanganywa kianalogia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]""
Bahati yake kidogo tu akute manyoya""
 
Mkuki kwa nguruwe tu!! Sema nadhani technique ya huyo mdada ndo ya kiboya!
Hii haikutokea ki ukweli. Ni ya kutunga. Hivi shemeji yako anaweza kuja nyumbani kwako na ukaamua kuondoka bila angalau kumsalimia? Haya... pengine unaogopa kuonana naye, lakini bado kuna simu. Na kingine... kwa hali ya kawaida mgeni anatafutiwa sehemu ya kulala na si rahisi kupishwa na mwenyeji akaenda kutafuta makazi.
 
Uko sahihi!! Huyo jamaa naye hazimtoshi tu, hivi nampishaje mgeni wangu kitanda changu na mke wangu?

Huyo mgeni kwanini asingemsubiri halafu akampeleka lodge?

Au ndo "ben ten" kakaribishwa kwenye geto la mwanamke hivyo anaamrishwa vile mwenye geto anataka!?

Umeonaeee. Tusimuangushie lawama mwanamke wakati mwanaume mwenyewe ni zuzu.

Sababu mwanaume angekuwa akili yake iko vizuri lazima angejiongeza hapo. Pia najiuliza inamaana hakuwa hata na hamu ya kumjua mgeni anayekuja nyumbani kwao? Nawaza tu.

Au ye aliwaza usingizi tu. 😂😂😂😂 wanaume hawa. Lol.
 
Back
Top Bottom