Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Daaah POLE SANA MWANAMME MWENZANGU inaumiza sana
Usaliti UNAUMIZA KISHENZI
Usaliti UNAUMIZA KISHENZI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nini sasa hikiUnauwezo wa kubeba mimba za wanaume kadhaa kwa pamoja?
Kwahyo ni mashindano au siyoKwani wanaume hamfanyagi hivi vitu? Mbona nyie ndo vinara!
Ndio manake....tulipizane tuu kwani mi sina nyamaKwahyo ni mashindano au siyo
Wakikujibu watatu tu hili swali lako nitag Mumy. 😂😂😂😂
Umeruhusiwa na nani?Sisi tumeruhusiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani wanaume hamfanyagi hivi vitu? Mbona nyie ndo vinara!
Sanaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona muvi ya kishamba Sana Hii kuwahi kutokea
Hiki kinalenga kwamba kwa vile huwezi beba mimba za wanaume kadhaa basi hurusiwi kua na zaidi ya mmoja. Mwanaume anauwezo wa kubebesha mimba wanawake kadhaa.Ndo nini sasa hiki
Hahaha ila kwa upande wangu kama nakuhudumia kila kitu ukinifanyia hivyo lazima upate shida sanaNdio manake....tulipizane tuu kwani mi sina nyama
Ahaaaahaaaa....kweli asee!Ni aibu mwanaume kuongea ujinga kama huu. Embu fikiria ndio mme wako unayemuamini alafu unamsikia akitema shudu kama hili. Kipindi hicho uliamini una mume mwenye akili leo unasikia eti unamzidi. Kama si ndoa kuvunjika huku ni nini anatafuta.
Ifike hatua vijana wasiku hizi waache kututia aibu jamani
Ila we ukifanya?Hahaha ila kwa upande wangu kama nakuhudumia kila kitu ukinifanyia hivyo lazima upate shida sana
Inabidi ufunike kombeIla we ukifanya?
Hakuna cha kufunika kombe hapa!...ukifanya nafanya!Inabidi ufunike kombe
Kwani we una nihudumia kila kitu
Ahaaaahaaaa....kweli asee!
Na wale wanaume wanaoomba hela wanawake unawazungumziaje??
Mbona muvi ya kishamba Sana Hii kuwahi kutokea
Kweli mkuu....yaan siku hizi real gentleman ni wa kuokoteza aseeHao ndio wanasema wanawake wana akili kubwa. Ukiwauliza wanaanza kutoa sababu uchwara. Mara sijui Samson na Delila, Mara sijui Adam na Hawa. Ujinga tuu. Yaani nikimsikia mtoto wangu wakiume akiongea shudu kama hili wallah nafukuza nyumbani.
Huo ni ushoga tuu. Wamebakiza kugeuzwa tuu. Mwanaume ndiye atakula kwa jasho yaani kwa kutafuta na si kuomba omba kama jike. Baadhi ya wanaume wa siku hizi wanashindwa hata na Jogoo.