Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si kweli ila wana ipuuzi mwingi kuliko sie na udhubutu wa kipuuzi sana.Wanawake wanaakili nyingi sana kuliko sisi wanaume...ndyo maana huwa nawaheshimu na kuwaogopa!
Baelezee kidogo hyo mastoriAnaweza kuwa anafanya sema sifatilii...sitaki presha najipenda mie!
Nyie wanaume ndo wahuni halafu mnajifanya mna wivu na vinara wa kuhack mawasiliano! eeew! Yaliyonikutaga sitakagi hata kukumbukaga[emoji24]
Umfatilie mwanaume ili ufe mapema au upate kiharusi??vyakula vya chumvi vitamu saanaAnaweza kuwa anafanya sema sifatilii...sitaki presha najipenda mie!
Nyie wanaume ndo wahuni halafu mnajifanya mna wivu na vinara wa kuhack mawasiliano! eeew! Yaliyonikutaga sitakagi hata kukumbukaga[emoji24]
NYIE MNAFANYAGA KIJINGA KABISAKwani wanaume hamfanyagi hivi vitu? Mbona nyie ndo vinara!
tumegee kidogo WityAnaweza kuwa anafanya sema sifatilii...sitaki presha najipenda mie!
Nyie wanaume ndo wahuni halafu mnajifanya mna wivu na vinara wa kuhack mawasiliano! eeew! Yaliyonikutaga sitakagi hata kukumbukaga[emoji24]
well said jamaa kiaziUko sahihi!! Huyo jamaa naye hazimtoshi tu, hivi nampishaje mgeni wangu kitanda changu na mke wangu?
Huyo mgeni kwanini asingemsubiri halafu akampeleka lodge?
Au ndo "ben ten" kakaribishwa kwenye geto la mwanamke hivyo anaamrishwa vile mwenye geto anataka!?
basi story n ya kutungaUmeonaeee. Tusimuangushie lawama mwanamke wakati mwanaume mwenyewe ni zuzu.
Sababu mwanaume angekuwa akili yake iko vizuri lazima angejiongeza hapo. Pia najiuliza inamaana hakuwa hata na hamu ya kumjua mgeni anayekuja nyumbani kwao? Nawaza tu.
Au ye aliwaza usingizi tu. 😂😂😂😂 wanaume hawa. Lol.
Naomba nimsaidie kujibu.Why? Nipe strong reason
Sisi tuna kibali/leseni kabisa nyie mnafanya kwa mamlaka ya nani??Kwani wanaume hamfanyagi hivi vitu? Mbona nyie ndo vinara!
Huwezi kummiliki binadamu bana huo ndo ukweli!Sasa wit definition ya mimi kukuhudumia kila kitu, na Baadae nikakulipia posa
Si sawa na kukumiliki
Hakuna kitu kama hichoondio mantiki yake hiyo ''
Habanielewi habaaBaelezee kidogo hyo mastori
Meona eeeh[emoji122] [emoji122] [emoji122]Umfatilie mwanaume ili ufe mapema au upate kiharusi??vyakula vya chumvi vitamu saana
Hakuna kitu kama hichooNYIE MNAFANYAGA KIJINGA KABISA
Nishaelezea mkuu...rudi nyuma uonetumegee kidogo Wity
Hakuna kitu kama hichoNaomba nimsaidie kujibu.
There is a famous proverb which says "Caesar's wife must be above suspicion."
Hii ni kusema mke/mwanamke wa mtu yeyote hapaswi hata kuhisiwa anachepuka kwa umuhimu na heshima ya mwanamke kwa binadamu wote.
Kibali kutoka kwa nani? Eeeehw!Sisi tuna kibali/leseni kabisa nyie mnafanya kwa mamlaka ya nani??