Mwanamke sio mtu wa mchezo,,,true event!!!

Mwanamke sio mtu wa mchezo,,,true event!!!

Wanawake wanaakili nyingi sana kuliko sisi wanaume...ndyo maana huwa nawaheshimu na kuwaogopa!
si kweli ila wana ipuuzi mwingi kuliko sie na udhubutu wa kipuuzi sana.

sasa hapa nani mwenye akili mwanamke ana mwanaume. sema mwanamke kawa na udhubutu na ujasiri wa kipuuzi
 
Anaweza kuwa anafanya sema sifatilii...sitaki presha najipenda mie!

Nyie wanaume ndo wahuni halafu mnajifanya mna wivu na vinara wa kuhack mawasiliano! eeew! Yaliyonikutaga sitakagi hata kukumbukaga[emoji24]
Baelezee kidogo hyo mastori
 
Anaweza kuwa anafanya sema sifatilii...sitaki presha najipenda mie!

Nyie wanaume ndo wahuni halafu mnajifanya mna wivu na vinara wa kuhack mawasiliano! eeew! Yaliyonikutaga sitakagi hata kukumbukaga[emoji24]
Umfatilie mwanaume ili ufe mapema au upate kiharusi??vyakula vya chumvi vitamu saana
 
Anaweza kuwa anafanya sema sifatilii...sitaki presha najipenda mie!

Nyie wanaume ndo wahuni halafu mnajifanya mna wivu na vinara wa kuhack mawasiliano! eeew! Yaliyonikutaga sitakagi hata kukumbukaga[emoji24]
tumegee kidogo Wity
 
Uko sahihi!! Huyo jamaa naye hazimtoshi tu, hivi nampishaje mgeni wangu kitanda changu na mke wangu?

Huyo mgeni kwanini asingemsubiri halafu akampeleka lodge?

Au ndo "ben ten" kakaribishwa kwenye geto la mwanamke hivyo anaamrishwa vile mwenye geto anataka!?
well said jamaa kiazi
 
Umeonaeee. Tusimuangushie lawama mwanamke wakati mwanaume mwenyewe ni zuzu.

Sababu mwanaume angekuwa akili yake iko vizuri lazima angejiongeza hapo. Pia najiuliza inamaana hakuwa hata na hamu ya kumjua mgeni anayekuja nyumbani kwao? Nawaza tu.

Au ye aliwaza usingizi tu. 😂😂😂😂 wanaume hawa. Lol.
basi story n ya kutunga
 
Why? Nipe strong reason
Naomba nimsaidie kujibu.
There is a famous proverb which says "Caesar's wife must be above suspicion."

Hii ni kusema mke/mwanamke wa mtu yeyote hapaswi hata kuhisiwa anachepuka kwa umuhimu na heshima ya mwanamke kwa binadamu wote.
 
Sasa wit definition ya mimi kukuhudumia kila kitu, na Baadae nikakulipia posa
Si sawa na kukumiliki
Huwezi kummiliki binadamu bana huo ndo ukweli!

Kutoa posa ni heshima tu na kuzuga zuga familia yangu isionekane nimechukuliwa na mhuni mweeh!
 
Naomba nimsaidie kujibu.
There is a famous proverb which says "Caesar's wife must be above suspicion."

Hii ni kusema mke/mwanamke wa mtu yeyote hapaswi hata kuhisiwa anachepuka kwa umuhimu na heshima ya mwanamke kwa binadamu wote.
Hakuna kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom