Mwanamke sio mtu wa mchezo,,,true event!!!

Mwanamke sio mtu wa mchezo,,,true event!!!

Namsikitikia maana huenda kuwa alikuwa na plan ya kuoa, maybe ali mliona kwamba huyu ni wife wake wa future ndio maana akamuamini.
Naona nivizuri amejua mapema, kuliko hili tukio lingetokea wkt amesha oa
Kiukweli walishafika mbali sana, mwaka wa 2 wako pamoja huu! Na kwa mipango ni mingi tayari washafanya ya kujijenga ila ndio hivyo, mwanamke anaweza vunja uaminifu uliojengwa kwa miaka kwa sekunde chache tu na kukosa kufikiri sawa sawa, mwanamke alirudi jana jioni na kuomba msamaha kwa majuto sana kisha akamwambia jamaa kwamba anajua kamkosea pakubwa hastahili msamaha anaona hana nafasi tena kabisa, ikibidi amove on tu na maisha yake, hatoweza kushuhudia jinsi jamaa anavyokosa raha katika uhusiano wao. Jamaa hajamjibu lolote, kakausha tu! Ila nahisi atamfix pahala tu. Akili za wahuni tunazijua wahuni!
 
Kiongozi naimani hata mitihani ya shule haikuwahi kukusumbua. Umeelewa kwa haraka mno kitu ambacho wengi hawajakielewa na wamekimbilia kufanya judgement tu. Kuna watu ni wastaarabu na waelewa sana kwa asili na kuna watu sio wastaarabu kabisa. Jamaa kufanya alilofanya ilikuwa ni stara tu na kutaka mwanamke wake awe na amani tu na ndugu yake watie story kwa uhuru wafurahi.
Sure! Bro
 
Duuuh kutombewa sio poa
Jamaa alivamia mchezo kabla haujaanza, so kimsingi hajatombewa ila ile situation ya mwanamke kuleta dume jengine ndani ndio tatizo hasa! Ni harakati za usaliti!
 
Duh hiyo ilikuwa inafanywa na aliyekuwa mke wangu yaani nikienda kazini yeye anawasiliana na mchepuko anakuja nyumbani wanafanya yao anaondoka. Sasa tulikuwa tunaingilia parking ya gari ambayo ilikuwa bado haijasakafiwa na kuona chata za viatu vikubwa na mle ndani hakuna mtoto mwenye chata ya viatu vile. Nikamwuliza hapa nyumbani leo alikuwa mgeni akasema hapana hakuja mtu yeyote na mimi sijaondoka leo. Nikanyamaza...nikawa natafuta kumkamata nikafanikiwa...usipuuze hata dalili ndogo zinazooneka ...kama hupendi tabia ya michepuko ila kama unapenda usijaribu kutaka kujua maana utaachana na mkeo wenu kipenzi..
Duh hapo ulioa malaya bubu mkuu, anyways vipi upo nae hadi sasa au ulimpangia kazi ingine!?
 
Kiukweli walishafika mbali sana, mwaka wa 2 wako pamoja huu! Na kwa mipango ni mingi tayari washafanya ya kujijenga ila ndio hivyo, mwanamke anaweza vunja uaminifu uliojengwa kwa miaka kwa sekunde chache tu na kukosa kufikiri sawa sawa, mwanamke alirudi jana jioni na kuomba msamaha kwa majuto sana kisha akamwambia jamaa kwamba anajua kamkosea pakubwa hastahili msamaha anaona hana nafasi tena kabisa, ikibidi amove on tu na maisha yake, hatoweza kushuhudia jinsi jamaa anavyokosa raha katika uhusiano wao. Jamaa hajamjibu lolote, kakausha tu! Ila nahisi atamfix pahala tu. Akili za wahuni tunazijua wahuni!
Ukiona mpaka Mwanamke kafikia hatua ya kumletaa Mchepuko Nyumbanii kitandani kwako wazini aisee nyoosha mikoni Juu...Achana nae kabisaa Maana amefika mahali ambako SHETANI mwenyewe hawezi fikaa!! Wanawake akili zao za Kuvukiaa barabaraa....Kusahau dak 1 tu
 
Kwendraaaa mnavojitapa durations li nyie hamfanyi, alichokifanya binti ni kibaya ila na nyie mnafanya msitafute huruma hapa.
 
Anaweza kuwa anafanya sema sifatilii...sitaki presha najipenda mie!

Nyie wanaume ndo wahuni halafu mnajifanya mna wivu na vinara wa kuhack mawasiliano! eeew! Yaliyonikutaga sitakagi hata kukumbukaga[emoji24]
Mkuu wewe una jinsia ngapi? Mbona kuna nyuzi huwa unaongea kama mwanaume?
 
Ukiona mpaka Mwanamke kafikia hatua ya kumletaa Mchepuko Nyumbanii kitandani kwako wazini aisee nyoosha mikoni Juu...Achana nae kabisaa Maana amefika mahali ambako SHETANI mwenyewe hawezi fikaa!! Wanawake akili zao za Kuvukiaa barabaraa....Kusahau dak 1 tu
Hamna la maana tena hapo, mie pia nmemshauri mwanangu apige chini tu japo demu ajifanya kuleta unafiki wake wa kujitia anajutia. Once a cheater always a cheater!
 
Mwanaume akifanya si kosa ila Mwanamke akifanya ni kosa kubwa sana, tunatakiwa kusimama njia kuu jinsia zote.
 
We endelea kuhisi ya kutunga wakati ni ishu current nimeshuhudia. Anyways dont trust a woman 100%
Mimi kuhusu ''ku trust a woman'' hilo sina ubishi nalo. Na siyo suala la ku trust woman tu mimi nadhani filosofi yangu ni ''kuto trust human'' 100%. Hilo uliloelezea sina ubishi nao kutokea lakini mazingira ya jinsi lilivyotokea ndiyo nime doubt. Anyway kwenye maisha kuna extreems na hilo linaweza kutokea kwani taratibu za maisha za familia nyingine ni za kushangaza.
 
Duh hapo ulioa malaya bubu mkuu, anyways vipi upo nae hadi sasa au ulimpangia kazi ingine!?
Anaendeleza fani yake kwa raha zake...mimi naendelea na maisha yangu bila mwanamke maana akili ya kuishi na mwanamke sina. Wenye akili ya kuishi na wanawake ndo wanadumu nao na wanaishi nao mpaka kifo kuwaungunisha au kuwatenganisha...
 
Back
Top Bottom