Mwanamke sio zigo

Mwanamke sio zigo

Hili ni jina la hovyo kabisa ambalo wanaume tumewapa wanawake,ni upuuzi na utovu wa heshima kwa wanawake
Why mwanamke anaitwa mzigo sababu asilimia kubwa ya wanawake ni liability akija kwenye maisha yako anakuja kama chombo na ili ukitumie you have to pay
 
Angalia aziz ki kalipishwa 30 mil anauziwa kinyama kidogo tu bacho watoto wa shule wanakitoa kwa sahani za chipsi
 
Back
Top Bottom