Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Kwanini mwanaume unalazimishwa kuoa?
Kwanza elewa Kabisa ndoa haipo Kwa ajili ya maslahi ya mwanaume Bali mwanamke. Yaani mwanaume hapati faida kubwa akifunga ndoa zaidi ya mwanamke, zaidi Sana atapata hasara maradufu ukilinganisha na akiishi na Mwanamke bila ndoa.
Angalau ndoa za Kiislam, hizi kidogo kulingana na sheria za kiislam Mwanaume anapata Faida.
Kimsingi unalazimishwa kufunga ndoa na Mwanamke ili uachiwe majukumu Rasmi ya kumtunza Mwanamke utakayemuoa, hii ni Kwa Wakristo. Wanasema kuachiwa Zigo la misumari. Wanaume wa Mijini wengi wanalijua Jambo hili fika.
Sio kwamba unapoambiwa Uoe wanakutakia Mema,😀😀 hapana Ila wanajaribu kukupa majukumu ili uhenyeke na ule Kwa jasho zaidi Kwa kutunza Mwanamke. Hilo sio shida, kwani ni sehemu ya MAJUKUMU ya mwanaume.
Shida inaanzia pale ambapo huna kazi ya uhakika hivyo kipato chako kina hang hang siku zingine ukose kabisa.
Kwa Dunia ya sasa ilivyo haribika, wanawake walivyokuwa na tamaa na vitu vizuri. Ninakushauri USIOE Kama hauna kipato cha uhakika. Ni akheri uishi na Mwanamke kinyumba hivyohivyo hii itakuwa na faida upande wako.
Siku utakayomuoa mke wako hasa ndoa ya Kikristo ndio siku ambayo amechukua Ubingwa na yeye ndiye mshindi. Zingatia, wanawake wengi siku hizi 90% hawajaolewa wakiwa na bikra zao. Hii ni kumaanisha wapo waliokutangulia aliokuwa anawapenda zaidi yako.
Usijekudanganywa, hakuna mapenzi ya dhati yatakayozidi First Love, wahenga walisema First love ndio True Love.
Wanaume ambao wanaishi na Wanawake bila ya ndoa ndio wanafuraha na kuheshimiwa na wake zao ukilinganisha na Wale Waliooa. Unajua ni Kwa nini?
Kwa sababu mwanamke ili akuheshimu anatakiwa Ajue kuwa Unaouwezo wa kumuacha muda wowote na kuwa na Mwanamke mwingine. Na wala usiathirike Kwa lolote katika maisha yako.
Wanawake wengi wa kiislam ni submissive Kwa waume wao Kwa sababu wanajua muda wowote wanaweza kupewa Talaka na mume akaoa mke mwingine au kuongeza mke mwingine.
Mwanaume aliyekomaa na aliyefunzwa vizuri akahitimu Mafunzo lazima ampe mwanamke uhakika wa mambo Kama mavazi, chakula na Huduma zingine lakini amnyime mwanamke uhakika wa kuwa Naye Saima, hii itamfanya mwanamke aonyeshe juhudi ili aendelee kuwapo katika Ndoa.
Ni kosa la kiufundi kumpa uhakika na kumfanya mwanamke ajione kwake ndio umefunga Break, yaani huna uwezo wa kupata mtu mwingine. Hapo utakuwa umefanya makosa makubwa Sana.
Taikon huwa nasemaga, kabla hamjafika mbali kwenye Relationship ni lazima umwambie mwanamke kuwa hupendi mambo ya kipuuzi, na kamwe hutovumilia. Ajue kuwa akianza mambo ya umalaya Kwa Aina zake hautokuwa na muda wa kujadiliana Naye kuhusu huo upuuzi. Akianza mambo ya ushirikina na Uchawi Ajue kuwa hutokuwa na nafasi ya kumsamehe. Na akileta ujeuri na Dharau za kipuuzi utafukuza mapema bila ya kikao Wal mjadala.
Mwanamke Ajue kuwa unauwezo wa kumuacha muda wowote akikosea hasa makosa ya kipuuzi.
Mwanamke Ajue kuwa wewe ni mwanaume mwenye msimamo ambaye huna wakukushauri sio Wazazi wako sio viongozi wa dini sio yeyote. Hii itamfanya yeye ndiye awe makini kuwa mshauri wako. Na akiharibu Ajue kuwa hakuna wa kukushauri.
Vijana, kama huna kazi ya uhakika, na flow yako ya kipato bado haieleweki. Nakushauri USIOE. Ishi na Mwanamke tu angalau miaka hata kumi na mitano hivi, kama atakuvumilia Sawa akishindwa apite Kushoto. N hii uitumie zaidi Kwa wanawake wasomi au wenye Usasa au wanaovutiwa na Dunia ya Sasa.
Vinginevyo utateseka, Wewe uliona wapi mwanaume ambaye hajaoa akiteseka? Uliona wapi mambo hayo?
Ndoa ni muhimu Sana lakini umuhimu huo upo zaidi Kwa wanawake kuliko Wanaume.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam