Ni makahaba waliotuliza mzuka tu hao. Siku mzuka ukiamka waume zao watajutaNa walioolewa unawaambiaje
Wivu Tuu....Tattoo zina tafsiri chanya huko majuu, lkn siyo hapa Bongoland. Watu wengi wanatafsiri tattoo kama uhuni (wezi, makahaba na maraibu wa madawa ya kulevya).
Hakuna mwanaume atakuoa mwanamke uliyechora tattoo kwenye mapaja, sehemu za siri, kwenye titi, mabegani ama mikononi. Haya yote ni maeneo ambayo mwanamke hapaswi kushikwa shikwa na mwanaume asiye mmewe.
Kwahiyo mwanamke mwenye tattoo anatafsiriwa kama kahaba aliyepitiliza viwango vya ukahaba. Utadoda na kuzalia kwenu halafu kliniki utasindikizwa na babako na kakako (aibu ya mwaka hii)
Ni mm kungwi la kitaa Sexless
Mmh! I doubt.Nipo na mama mtoto hapa amejichora tattoo yake ya mgongo hana shida na mtu
Mambo ya tattoo sifagilii kamwe!Wivu Tuu....
Mwenyewe Umechora Ya Takon Mbona Umeolewa?
Au Hutaki Wenzio Waolewe Kama Wewe?
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Ni ulimbukeni tu kuhusisha vitu na tabia za mtu. Unaweza kuta asiekuwa na tattoo akawa kahaba mapepe kuliko hata mwenye tattoo mwili mzima.Na walioolewa unawaambiaje
Ni choices kungwi wengine hupendelea amani ya moyo kuliko muonekano wa mtu na judgements za kwenye jamiiMmh! I doubt.
Naam ,ni heri kuwa na msichana mwenye tattoo mwenye kukuheshimu na kukupa amani kuliko yule asienayo na kukupa ghadhabu kila sikuHawatoolewa tena.
Ni ulimbukeni tu kuhusisha vitu na tabia za mtu.
Unaweza kuta asiekuwa na tattoo akawa kahaba mapepe kuliko hata mwenye tattoo mwili mzima.
Kabisa.Naam ,ni heri kuwa na msichana mwenye tattoo mwenye kukuheshimu na kukupa amani kuliko yule asienayo na kukupa ghadhabu kila siku
Hapana. Tabia huendana na mitindo ya muonekano na mavazi. Usitake tuamini mwanaume ambaye siyo shoga anaweza kujiremba kama mwanamke.Ni ulimbukeni tu kuhusisha vitu na tabia za mtu.
Unaweza kuta asiekuwa na tattoo akawa kahaba mapepe kuliko hata mwenye tattoo mwili mzima.
Basi na mwanaume anayevaa kike na kujiremba asipimwe haja kubwa.Ni choices kungwi wengine hupendelea amani ya moyo kuliko muonekano wa mtu na judgements za kwenye jamii
Hata wanaume makahaba wa kiume wapo. Kwahiyo ndege wafananoo ........Aisee tuko tofauti.
Napenda mwanamke mwenye tattoo, aliyetoboa vipini mwilini, napenda sana.