The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kwahiyo Wanawake wasio na tattoo wao wote sio malaya?Ni makahaba waliotuliza mzuka tu hao. Siku mzuka ukiamka waume zao watajuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Wanawake wasio na tattoo wao wote sio malaya?Ni makahaba waliotuliza mzuka tu hao. Siku mzuka ukiamka waume zao watajuta
Mmh,! Unaongea mambo ya wakubwa mno. Sisi watoto unatuacha njia pandaUkimpiga doggy style kila ukitazama ule mchoro unazidi kupata mzuka wa kumpelekea moto tena ukute anayejua kuukatikia mkuyenge wewe ni kuchapa tuvibao twa matako
She belongs to the streets!!Nipo na mama mtoto hapa amejichora tattoo yake ya mgongo hana shida na mtu
Wanawake wenye tattoo ni makahaba wenye label za TBS ya ukahaba au unaweza sema Wana veti vya ukahaba.Kwahiyo Wanawake wasio na tattoo wao wote sio malaya?
Hapana. Tabia huendana na mitindo ya muonekano na mavazi. Usitake tuamini mwanaume ambaye siyo shoga anaweza kujiremba kama mwanamke.
Usitake tuamini mtu ambaye siyo mbuga bangi anaweza kuongea kama teja.
Usitake tuamini mwanamke amabye siyo kahaba anaweza kuvaa vikuku, kijichora tattoo na kujipodoa kuliko pitiloza.
Acha kutafuta uchochoro wa kuficha maovu yako
Tunawapa uzoefuMmh,! Unaongea mambo ya wakubwa mno. Sisi watoto unatuacha njia panda
Unavaa miguu yote au wa kushoto tu?Heeeee na wavaa vikuku umetuingiza jamani? Ni huzuni kwa kweli
Manzi akivaa kikuku/vikuku anatamanisha aisee na ukute miguu misafi ngozi nyororo 😋Heeeee na wavaa vikuku umetuingiza jamani? Ni huzuni kwa kweli
Sawa mtoto mzuri nitakuoa na wewe nyongeza. Nitakuoa kimila. Punguza munkari. Najua inakuuma wanaolewa wewe bado. Basi mimi nitakuoa.Hata wanaume makahaba wa kiume wapo. Kwahiyo ndege wafananoo ........
Kwa kweliii.Waliolewa na hizo tattoos na maisha yanaendelea unawaambiaje? Je sisi ambao hatujachora na hatujaolewa kliniki tumesindikizwa na kaka zetu vile vile unataka kusemaje? Kuna watu wanpenda wadada wenye tattoos ujue
Unavaa miguu yote au wa kushoto tu?
Both legs 😍😍😍I don’t really care navaa kwa urembo left/right both legs….
Ni kweli tupuNi ulimbukeni tu kuhusisha vitu na tabia za mtu.
Unaweza kuta asiekuwa na tattoo akawa kahaba mapepe kuliko hata mwenye tattoo mwili mzima.
Sio kweli watu wasifanye vitu wanavyopenda kisa kuonekana kahabaNi makahaba waliotuliza mzuka tu hao. Siku mzuka ukiamka waume zao watajuta
Aliemchora tattoo ya mgongo lazima alimla mgongoNipo na mama mtoto hapa amejichora tattoo yake ya mgongo hana shida na mtu
Hakuna mwanamke mwenye tattoo atakuheshimu aiseeNaam ,ni heri kuwa na msichana mwenye tattoo mwenye kukuheshimu na kukupa amani kuliko yule asienayo na kukupa ghadhabu kila siku
Ilikuwa na kishungi au ulitumia jaladio la daftari? Dunia imebadilika unawacha kuwafokea wanao leta tamaduni mbaya kwetu mpaka watoto wetu tunaishi nao kwa mashaka.Tattoo zina tafsiri chanya huko majuu, lkn siyo hapa Bongoland. Watu wengi wanatafsiri tattoo kama uhuni (wezi, makahaba na maraibu wa madawa ya kulevya).
Hakuna mwanaume atakuoa mwanamke uliyechora tattoo kwenye mapaja, sehemu za siri, kwenye titi, mabegani ama mikononi. Haya yote ni maeneo ambayo mwanamke hapaswi kushikwa shikwa na mwanaume asiye mmewe.
Kwahiyo mwanamke mwenye tattoo anatafsiriwa kama kahaba aliyepitiliza viwango vya ukahaba. Utadoda na kuzalia kwenu halafu kliniki utasindikizwa na babako na kakako (aibu ya mwaka hii)
Ni mm kungwi la kitaa Sexless
Basi na wanaume wanaovaa nguo za kike na kujiremba wasipimwe sehemu za haja kubwaSio kweli watu wasifanye vitu wanavyopenda kisa kuonekana kahaba