Mwanamke ukijichora tattoo, huolewi "ng'o!

Mwanamke ukijichora tattoo, huolewi "ng'o!

Tattoo zina tafsiri chanya huko majuu, lkn siyo hapa Bongoland. Watu wengi wanatafsiri tattoo kama uhuni (wezi, makahaba na maraibu wa madawa ya kulevya).

Hakuna mwanaume atakuoa mwanamke uliyechora tattoo kwenye mapaja, sehemu za siri, kwenye titi, mabegani ama mikononi. Haya yote ni maeneo ambayo mwanamke hapaswi kushikwa shikwa na mwanaume asiye mmewe.

Kwahiyo mwanamke mwenye tattoo anatafsiriwa kama kahaba aliyepitiliza viwango vya ukahaba. Utadoda na kuzalia kwenu halafu kliniki utasindikizwa na babako na kakako (aibu ya mwaka hii)

Ni mm kungwi la kitaa Sexless
Lakini hizi tattoo za kisasa zinafutika ukitaka kuondowa.

Kwenye maadili hata mwanaume ukiwa na tatoo hurusiwi kujiunga na Majeshi yetu.

Wanapenda hizo tatoo wachore temporary tattoo ambazo ni removable, zina raha yake kwa mabinti kwenye usichana wao, kama ni ukahaba kuna wake za watu wa ndoa kabisa ni zaidi ya makahaba.
 
Tattoo zina tafsiri chanya huko majuu, lkn siyo hapa Bongoland. Watu wengi wanatafsiri tattoo kama uhuni (wezi, makahaba na maraibu wa madawa ya kulevya).

Hakuna mwanaume atakuoa mwanamke uliyechora tattoo kwenye mapaja, sehemu za siri, kwenye titi, mabegani ama mikononi. Haya yote ni maeneo ambayo mwanamke hapaswi kushikwa shikwa na mwanaume asiye mmewe.

Kwahiyo mwanamke mwenye tattoo anatafsiriwa kama kahaba aliyepitiliza viwango vya ukahaba. Utadoda na kuzalia kwenu halafu kliniki utasindikizwa na babako na kakako (aibu ya mwaka hii)

Ni mm kungwi la kitaa Sexless
Kumbe wewe ni Mwanamke?
 
Demu wangu nimemuacha baada ya kugundua anavuta shisha , japo yeye anadai inampa flavour ya chungwa 😁😁😁 Yule muarusha mzuri walah
Yani demu kuvuta shisha ndio unaacha utamu? Aisee bora ungesema ulitaka kumuowa akashindwa kuacha shisha angalau ningekuelewa
 
Wenye tattoos wana shoo za kibabe sana kitandani watamu sana kupiga nao fantasies ambazo huwezi fanya na manzi mnaheshimiana au mke

Napenda wale waliochora tattoo pale nyuma ya kiuno kwa chini kaaribu na mfereji wa matako hasa wale waliochora kipepeo au ua
 
Back
Top Bottom