Mwanamke ukijichora tattoo, huolewi "ng'o!

Ukimpiga doggy style kila ukitazama ule mchoro unazidi kupata mzuka wa kumpelekea moto tena ukute anayejua kuukatikia mkuyenge wewe ni kuchapa tuvibao twa matako
Mmh,! Unaongea mambo ya wakubwa mno. Sisi watoto unatuacha njia panda
 
Kwahiyo Wanawake wasio na tattoo wao wote sio malaya?
Wanawake wenye tattoo ni makahaba wenye label za TBS ya ukahaba au unaweza sema Wana veti vya ukahaba.

Bila shaka unajua tofauti ya gesti bubu na ile iliyo rasmi.
 

Heeeee na wavaa vikuku umetuingiza jamani? Ni huzuni kwa kweli
 
Ila huwa sina uhakika na hili, lakini nimeshuhudia mara kadhaa rafiki zangu wa karibu wakiogopa wanawake wenye tattoo katika maongezi, japo huwa naona kawaida.
 
Ilikuwa na kishungi au ulitumia jaladio la daftari? Dunia imebadilika unawacha kuwafokea wanao leta tamaduni mbaya kwetu mpaka watoto wetu tunaishi nao kwa mashaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…