Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Sikia Leejay49
Rudi nyuma, fuatilia posts zako wewe na Half american

Sio wewe uliyesema haya? Hapo ulikuwa unamuongelea nani?
Usitake niamini kama na wewe ni mtu wa vita da Nifah🤔🤔 ... Tatizo umechukulia in a serious note wakati niliandika kama utani, na nilikuuliza kama nimekutonesha popote tena nikiwa nacheka maanake ungeniambia ndyo mapema sana ningekuomba radhi ( Nadhani nilifanya hivyo pia, rudia kusoma vizuri),..
Na nilidhani kwa vile ulishaweka wazi mwenyewe jukwaani haina maana Yoyote kwako na huna tena cha kuwaza kuhusu yaliyopita cause nakujua vile ulivyo strong...

Am Sorry kama ina sound like personal attacks,, I didn't mean it🙏🙏
 
Kuna koment yako moja nilisoma mahali mwaka jana mwshoni kama sikosei, nikirelate na haya uliyoyaweka hapa leo ni watu wawili tofauti kabisa. Nwei maisha hubadilika na watu wake. Shortly ni kwamba leo unaunga mkono mambo ambayo ulikuwa ukiyapinga. Ni sawa na mimi niwe naunga mkono kataa ndoa.
 

Mzazi wako alikupeleka shule ili uje tu kumpata mwanaume anayekufikisha kibo, anayekupa hela n.k?

Mwanamke kuwa na mawazo ya kutaka kupewa pewa tu ni hasara kwa mzazi aisee...
 
Sorry Leejay49 kama ntakuwa naleta kihere here, ila kama unatamani msamaha wako ufike vizuri ungeacha ku-question Nifah 's reaction, because that's gaslighting. She has the right to feel how she feels, bila kujali ulichokusudia.
 
Sorry Leejay49 kama ntakuwa naleta kihere here, ila kama unatamani msamaha wako ufike vizuri ungeacha ku-question Nifah 's reaction, because that's gaslighting. She has the right to feel how she feels, bila kujali ulichokusudia.
Oooh asante kunielewesha… Nampenda sana, na ni kati ya watu ambao sikuwahi waza kama nitakuja kutofautiana nao hapa jukwaani..
Acha nimuache kwanza
 
Ipi hiyo my friend, em nenda unitag kwanza nione.. isijekua watu mnanichukulia serious wakati me nakuaga na utani mwingi🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…