Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha basi ubahili mwanangu [emoji16]50/50 ndo mpango, nipe nikupe
ndo kupendana
hicho kiambishi 'na' ni cha hali ya kutendeana
sasa nakupa hela, na wewe unipe, ndo hivyo....
Mmh ngumu kumeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Soon unaitwa mamkuu, boss kaweza…
Kanikomesha ss hivi mjanja yeye..!!!
amechachuka siku hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni wewe kweli?
Lee ni weweAisee me nataka anaejua kupeleka moto iie kiukweli ukweli,, hela me mwenyewe mtafutaji mzuri sana.. Na akiw na vyote pia sawa
tuishie kusoma tuTusiokua na hao wapenzi, tuna comment nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umegundua apo tatzo ni nini mkali???Hao wanaume unaowazungumzia hawapo Tanzania,labda Kwenye nchi za watu huko
Sikuliona hili darsa.Kwema?
Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.
Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.
NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
Usiniache kipenziTusiokua na hao wapenzi, tuna comment nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akikupa wewe unapeleka wap au kwa mwamposa??
Kwa kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tuishie kusoma tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kipenzii em njoo kwan nakuitaa bhanaa.Usiniache kipenzi
"Anakupa hela" umalaya umekuwa kawaida sana. Fanyeni kazi acheni ukahaba wa rejareja.Kwema?