Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Uwe unakunywa folic acid inasaidia kupunguza kichefuchefu wakati wa ujauzito....utaacha kuropoka hovyo,soma mada elewa...
Wanawake wa kitanzania na weusi acheni ukahaba. Fanyeni kazi sio kusubiri kupewa pesa na wanaume.
 
Kwema?

Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.

Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.

NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
Na uwaambie WASIKIE..!
 
Upo sahihi maana wanawake wa 2000 wamejipanga kuangusha maghorofa yote

Lazima mshikamane kikweli kweli.
 
1. Heshima ~ Mwanaume ambaye sitosita kumtambulisha kokote. Hii ni deep, kuanzia yeye binafsi hadi kwangu.

2. Upendo~ Huu uwe ni pande zote, tupendane haswa, tuishi na kuzeeka tungali tunapendana.

3. Amani ~ Mimi ni muwazi, hivyo napenda mwanaume wangu awe ni kimbilio langu katika kila kitu. Baada ya yote, yeye awe tumaini langu.

Good news ni kwamba Mungu amenibariki kwa kaka mzuri tayari, Alhamdulillah.
Kila la kheri.
Zamani kidogo maono haya alikuwaga nayo TO yeye,sijui kawekewa oil chafu basi anatoa moshi hatari!
 
Mfano sasa hivi mda huu nipo kwenye mgahawa zimeingia pisi mbili kali,zimetangulizwa then vibabu vyao vimewafuata kwa nyuma. Mmmoja sijui hana experience ila anavyo ongea na kibabu chake anaona aibu na hayupo comfortable kabisa.

Kusema ukweli wanaume ambao mnawataka nyinyi wa kuwapa hela kwa ajili ya vitu luxury ni vibabu na wanaume za watu. Ila vijana ambao ni age yenu uwezo wao ni kuwapa mahitaji ya MSINGI.Swala lenu mkubali kuwa nyumba ndogo au single mother. Yaani siku hizi mnataka kijana anaye jitafuta ahandle vikoba,mikopo,michezo majina matatu na mahitaji mengine ni uongo.

Tatizo siku hizi hamjui kutofaitisha lipi hitaji la msingi lipi ni luxury na wengine hata zile feelings za mapenzi mshapoteza, mnafikiria hela sometimes mkikutana na wahuni wana watumia vibaya kingono na nyinyi mnaona sawa.

Yaani na watizama hawa mabinti hapa hata ile chemistry huioni bali tu wanatizama pochi basi.
Hivi hakuna namna ya kuwa na sehemu maalum ya kuwapa tiba hawa mabinti waliopoteza hamu kutokana na matumizi ya madawa wanayopaka huko ikulu kwao km lile jengo walikopelekwa akina Rehema Chalamila,Chid Benz na wengineo?
 
Back
Top Bottom