Wanawake wa kitanzania na weusi acheni ukahaba. Fanyeni kazi sio kusubiri kupewa pesa na wanaume.Uwe unakunywa folic acid inasaidia kupunguza kichefuchefu wakati wa ujauzito....utaacha kuropoka hovyo,soma mada elewa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wa kitanzania na weusi acheni ukahaba. Fanyeni kazi sio kusubiri kupewa pesa na wanaume.Uwe unakunywa folic acid inasaidia kupunguza kichefuchefu wakati wa ujauzito....utaacha kuropoka hovyo,soma mada elewa...
Twende Jumuia sasaFanya kama nilivyokushauri hapo juu,utanishukuru baadae... Asante
Kwa anayetumia mkologo.Halafu ukishamaliza hapo umpe na Hela weee,,,hapo anakuacha anaenda wapi Sasa?
Na uwaambie WASIKIE..!Kwema?
Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.
Kuna wale wanawasha moto kwelikweli ukitoka hapo mwili wa baridi ila mfukoni tee, halafu kuna wale wenzangu wanachop ila anakuacha na unawakwa moto. By the way kama unae mpenzi ana kimoja katika hivyo basi tuendelee kumuombea Mungu ampe kilichokosekana.
NB: Achana na ile misemo Mungu hakupi vyote huo ni uwooongoooo.
Leo ndio nimegundua kuwa kuna Joanah na Joannah. Awali nilikuwa nikijua ni mmoja😂😂😂 jamani
Kila la kheri.1. Heshima ~ Mwanaume ambaye sitosita kumtambulisha kokote. Hii ni deep, kuanzia yeye binafsi hadi kwangu.
2. Upendo~ Huu uwe ni pande zote, tupendane haswa, tuishi na kuzeeka tungali tunapendana.
3. Amani ~ Mimi ni muwazi, hivyo napenda mwanaume wangu awe ni kimbilio langu katika kila kitu. Baada ya yote, yeye awe tumaini langu.
Good news ni kwamba Mungu amenibariki kwa kaka mzuri tayari, Alhamdulillah.
Hivi hakuna namna ya kuwa na sehemu maalum ya kuwapa tiba hawa mabinti waliopoteza hamu kutokana na matumizi ya madawa wanayopaka huko ikulu kwao km lile jengo walikopelekwa akina Rehema Chalamila,Chid Benz na wengineo?Mfano sasa hivi mda huu nipo kwenye mgahawa zimeingia pisi mbili kali,zimetangulizwa then vibabu vyao vimewafuata kwa nyuma. Mmmoja sijui hana experience ila anavyo ongea na kibabu chake anaona aibu na hayupo comfortable kabisa.
Kusema ukweli wanaume ambao mnawataka nyinyi wa kuwapa hela kwa ajili ya vitu luxury ni vibabu na wanaume za watu. Ila vijana ambao ni age yenu uwezo wao ni kuwapa mahitaji ya MSINGI.Swala lenu mkubali kuwa nyumba ndogo au single mother. Yaani siku hizi mnataka kijana anaye jitafuta ahandle vikoba,mikopo,michezo majina matatu na mahitaji mengine ni uongo.
Tatizo siku hizi hamjui kutofaitisha lipi hitaji la msingi lipi ni luxury na wengine hata zile feelings za mapenzi mshapoteza, mnafikiria hela sometimes mkikutana na wahuni wana watumia vibaya kingono na nyinyi mnaona sawa.
Yaani na watizama hawa mabinti hapa hata ile chemistry huioni bali tu wanatizama pochi basi.
Yena KE wanapata raha zaidi kuliko ME.Kwanini wapewe hela, wakati wote wanasikia raha?
Unalipia ngono. Maana yake ni ......Kwanini wapewe hela, wakati wote wanasikia raha?
Hahahahaha..itakua kile kimvua kilikubanaHivi mbona asubuhi sikuona hii jamani,😅?
Hahahahaha.."mzuka" wa usingizi,HahahahahaYaani,kilikuwa na mzuka sana...wa usingizi🙄
Hahahahaha ...kwahiyo umeonaje..nina mawazo hayo au la? Hahahahahaha😅😅😅😅Nilitaka tu nione kama una mawazo ya kushetani na mwezi huu wa toba