Hahahahaha..Rafiki bhanaHa hàaaa rada zimekusoma vyema.. mawazo yapo imara
Hahahahaha tena kazi haswa😂😂kazi kweli kweli
shauri yako utakosa vitamu,legeza kidogoNdo mapenzi arifu
Kujitoa
Hahahahaha...mtawauaKweli kabisa,anakuwa sio mtamu
Hahahahaha..apende pesa ila asiwe ananibania ..maana kuna sehemu ukifika ukitoa pesa unapewa yote hadi na nyongeza..😅😅Hanogii🤣🤣🤣