Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mungu anakupa vyote na vipo. Mwanaume akikosa kimoja hapo anakua hanogi
 
Tukupende, tukuridhishe na hela tukupe? Hizo kazi hatufanyi.

Kimsingi kitendo cha kumridhisha mtu tu kwa sasa ni deal tosha atashikamana na wewe no matter humpendi wala humpi hela na hata akiondoka utapata wengine kibao.
 
Hahahahaha..apende pesa ila asiwe ananibania ..maana kuna sehemu ukifika ukitoa pesa unapewa yote hadi na nyongeza..😅😅
Safi sana!ila hapo kwenye nyongeza hapo ndio changamoto🙆🙆😅
 
Back
Top Bottom