Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

nakubaliana na wanaosema "maokoto", kwa sisi wenye ndoa miaka mingi, miezi ile wife anajua na kuona pesa ipo tele home, huwa anakuwa na mawazo machache sana, hana hofu za ajabu kwani chochote anachotaka anapata tena kwa utele, hapo miezi hiyo mkiingia chumbani, unamwona kabisaa mpo AFCON. ila kuna miezi ile pesa imetumika sanaaa, kuna uhaba wa pesa, au akiwa na mawazo mawazo au hofu hofu aisee utakuta mnaingia chumbani afcon mnacheza ili tu kutimiza wajibu. conclusion ni kwamba, vijana tutafute pesa, majority yetu sisi wanaume ukiona nyumbani kuna pesa hata unyumba hua unakuwa mzuri sana, ila ukiona hakuna pesa na unyumba ukaenda viziru jua wewe akili yako ni ya kimasikini na huwazi maendeleo jiweke kwenye kundi la failures. utapigaje shoo za kueleweka wakati huna pesa, kwani huwazi kutafuta pesa, hata haikuumi kukosa pesa?
 
Ushauri mzuri sana babu, huwa napenda kujifunza kwa wakubwa zangu.

Ni wazi ukiendekeza mapenzi/wanawake huwezi kuendelea.

Mapenzi yanagharimu kila kitu afya, uchumi na muda. Na vyote hivi ni muhimu sana katika maendeleo binafsi.

Nayapenda sana mapenzi ila kuna muda nayaogopa sana.
Sahihi Mjukuu

Dunia mnayoishi ninyi Vijana na ile Dunia yetu Wazee ni tofauti hasa linapokuja suala la mahusiano na Afya.

Kuna Mjukuu wangu alinisimulia wiki kadhaa zilizopita eti Mpenzi wake alimwomba hela ya nywele sijui ni Peruvian ama Brazilian hair shilingi 1,500,000

Kama utaingia bahati mbaya kwenye mahusiano na Binti wa hivyo, mnadhani mtafanya maendeleo nyie?

Hakikisha unaingia kwenye mahusiano na binti anayejielewa, binti ambaye atakushauri namna sahihi ya kuwekeza na Kukua Kiuchumi.

Sio binti ambaye Kila Siku anawaza kutumia na sio kuingiza

Kumbukeni Kuna Uzee na ajali ambavyo vinaweza kukufanya Mwanaume ulale kitandani miezi kadhaa ukijiuguza huku hakuna hata shilingi 50 inaingia kwenye akaunti yako
 
Wanawake wa hivyo wapo sana, ni kuishi nao kwa akili tu na kuhakikisha unakuwa na mtu anaekuelewa na hali yako halisi ya kimaisha.

Heri miaka yenu mambo yalikuwa mepesi kwa kiasi fulani, sasa hivi mambo n mengi alafu magumu ila hakuna namna wa kuyaishi ni sisi na lazima tuyaishi.
 
Ulishawahi kumuona Marehemu Mama yake Peter Msechu na zile nywele zake za Twende Kilioni 😅

Bibi zenu walikuwa wakisuka vile na walikuwa wakipendeza balaa

Kama unaishi na Binti anayetumia milioni 1.5 kwenye nywele, vipi atatumia kiasi gani kwenye mavazi, perfumes n.k

Kuendana naye lazima Mwanaume uwe vizuri Kiuchumi.

Anyways, jikuneni Mkono unapofikia
 
I mean no malice to nobody
Screenshot_20240221-110041_1.jpg
 
Back
Top Bottom