Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, anakuridhisha na kukutunza shikamana

Vipi kama pesa anazo na anaweza kujitunza, na sio needy ?
Na anachotaka hapo ni zaidi ya the above....;
Binafsi nasema ukipata unachotaka enjoy the ride / moment (kwa waume na wake)
Mwanamke hawezi kuwa na pesa bwana....hata kama ni CEO ila ya mpenzi ni tamuuuu
 
Mi sijasema nataka kibabu Cha kunipa Hela mkuu umenisoma vibaya,nimesema ukipata wa kukupa vyote?kwani wenye Hela ni vibabu tu?hakuna vijana wenye Hela?
Kwenye hao hao vijana wenye hela, ni asilimia ngapi ya vijana hapa Tanzania wana uhakika wa kuingiza walau tsh million 1 kila mwezi?

Hapa sijachukulia factors nyingine kama muonekano, maana kijana anaweza kuwa na pesa nyingi, ila muonekano wake wa sura na mwili haikuvutii Yani kwa kifupi kijana anaweza kuwa na hela ila huna hisia nae/humpendi coz unaona ana sura mbaya

Au unaweza ukapata huyo kijana ana muonekano na hela, ila huyo kijana hajavutiwa na wewe, anakuona ila hakutongozi

Amka usingizini dada Joannah
 
Shida Binti miaka 23 tayar kashaonjwa na wanaume kibao. Ukifika wakat wa Kuolewa anataka yale mazuri ya Juma, Hassan, Joseph, Jofrey, Hamidu Nk awe nayo Mtu mmoja ambae ni Gwamaka... My Dear Friend Ukimpenda mtu kwa kitu flan na ukapata amani ya Moyo kabisaaa Mengine vumilia
 
Kwenye hao hao vijana wenye hela, ni asilimia ngapi ya vijana hapa Tanzania wana uhakika wa kuingiza walau tsh million 1 kila mwezi?

Hapa sijachukulia factors nyingine kama muonekano, maana kijana anaweza kuwa na pesa nyingi, ila muonekano wake wa sura na mwili haikuvutii Yani kwa kifupi kijana anaweza kuwa na hela ila huna hisia nae/humpendi coz unaona ana sura mbaya

Au unaweza ukapata huyo kijana ana muonekano na hela, ila huyo kijana hajavutiwa na wewe, anakuona ila hakutongozi

Amka usingizini dada Joannah
Wewe ndio uamke usingizini,Uzuri wa mwanaume sio sura Wala mwili kaka,,,we kuwa tu na walett nene uone
 
Back
Top Bottom