Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Ni sarcasm tu, embu nirudishie marks zangu bana!!!Mpk 60 hv unarudije Kwa ex?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sarcasm tu, embu nirudishie marks zangu bana!!!Mpk 60 hv unarudije Kwa ex?
Mwanamke hawezi kuwa na pesa bwana....hata kama ni CEO ila ya mpenzi ni tamuuuuVipi kama pesa anazo na anaweza kujitunza, na sio needy ?
Na anachotaka hapo ni zaidi ya the above....;
Binafsi nasema ukipata unachotaka enjoy the ride / moment (kwa waume na wake)
Na mtaachana tyu... Sio Bure Kwa Uzi ulioleta hapa. Much expectations is illegal in a relationship!Mbona Mimi Nina mwamba?acha uongo
Kwenye hao hao vijana wenye hela, ni asilimia ngapi ya vijana hapa Tanzania wana uhakika wa kuingiza walau tsh million 1 kila mwezi?Mi sijasema nataka kibabu Cha kunipa Hela mkuu umenisoma vibaya,nimesema ukipata wa kukupa vyote?kwani wenye Hela ni vibabu tu?hakuna vijana wenye Hela?
Over ngono tu!!Ngono tu
Wewe ndio uamke usingizini,Uzuri wa mwanaume sio sura Wala mwili kaka,,,we kuwa tu na walett nene uoneKwenye hao hao vijana wenye hela, ni asilimia ngapi ya vijana hapa Tanzania wana uhakika wa kuingiza walau tsh million 1 kila mwezi?
Hapa sijachukulia factors nyingine kama muonekano, maana kijana anaweza kuwa na pesa nyingi, ila muonekano wake wa sura na mwili haikuvutii Yani kwa kifupi kijana anaweza kuwa na hela ila huna hisia nae/humpendi coz unaona ana sura mbaya
Au unaweza ukapata huyo kijana ana muonekano na hela, ila huyo kijana hajavutiwa na wewe, anakuona ila hakutongozi
Amka usingizini dada Joannah
Ain't nothing like sarcasm kwenye kurudia ndizi ya mgomba uleule.Ni sarcasm tu, embu nirudishie marks zangu bana!!!
Jo acha watu waandike tujue akili zao...😉
JF nzima najua Mtu asiyependa Hela za mababe ni wewe tu,wengine wote kambaa tu😁😁😁
Swali la msingi sanaBora muulize kwanza...
🤣🤣 Kutangatanga ndo zenu nyie acha kujipa moyoKuchanika Kwa jamvi sio mwisho wa maongezi🤣🤣🤣nitasonga mbele
😂 call 911 sio bure