Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Wowote ule but ana ushawishi mkubwaushawishi mzuri au ushawishi mbaya ? ๐คง mema au mabaya ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wowote ule but ana ushawishi mkubwaushawishi mzuri au ushawishi mbaya ? ๐คง mema au mabaya ?
Sasa acha nikushauri.Wowote ule but ana ushawishi mkubwa
๐ฏ๐คKipimo cha Kwanza Kwa mwanaume ni kumhudumia Mkewe. Yaani ukitaka kujua Fulani ni Mwanaume wewe kaangalie familia yake.
Mtazame Mkewe, kisha Watoto alafu majibu utayapata.
๐ฏ๐คmwanaume anahitaji Utulivu yaani Amani.
๐ฏ๐คOnyesha jinsi unavyofurahia penzi lake. Mwambie ni mtamu
" Tengeneza figa ya kimodo, usile sana hasa mafuta mafuta , jua kuzungusha uno"Sasa acha nikushauri.
ushawishi ndio mnao lakini Akili sasa changanya na biashara
Kwanza Acheni Tamaa, acha tamaa usitake kumfilisi mtu. ๐๐๐
Tengeneza figa ya kimodell, usile sana hasa mafuta mafuta.
Jua kuzungusha uno.
Alafu unasema wife mwenye mauno, au mauno ya wife, au ukiwa na wife ni baraka.
๐ฏ๐คSio umvalishe alafu wewe uwe mchafu mchafu. Nyuka pamba, nyoa vizuri, nukia., Ongea kijentromen. Tembea kitasha,
Iddi Makengo yule jamaa ni mshauri wenu mzuri sana hasa kwa wanawake vichwa maji.Mwanzoni ulikuja na gia ya kuwapondea Wanawake, ulivyoona Idd Makengo na Chris Mauki wanajipakulia tu minyama umebadili gia angani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kila la kheir utawaokota sana tu.
๐ฏ๐คmshauri, uwe Mwalimu wake, director wake
Sema leo tupo kwa wanaume kusifia wake / partner zenu mkuu ngoja tumalizane nahili kwanza! Ila ushauri nimeuchukua ๐Sasa acha nikushauri.
ushawishi ndio mnao lakini Akili sasa changanya na biashara
Kwanza Acheni Tamaa, acha tamaa usitake kumfilisi mtu. ๐๐๐
Tengeneza figa ya kimodell, usile sana hasa mafuta mafuta.
Jua kuzungusha uno.
Alafu unasema wife mwenye mauno, au mauno ya wife, au ukiwa na wife ni baraka.
Wacha weee ๐๐,, uzuri kwenye maandishi sio๐๐๐lee we ni mzuri๐
au nadanganya
shepu๐Wacha weee ๐๐,, uzuri kwenye maandishi sio๐๐๐
Watu mna macho ya rohoni ๐๐๐,,, mnaona mashepu hadi kwenye maandishi ๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃshepu๐
kivipi??An extreme case of simping syndrome! ๐ถ๐ฟโโ๏ธ๐ถ๐ฟโโ๏ธ๐ถ๐ฟโโ๏ธ