Wowote ule but ana ushawishi mkubwaushawishi mzuri au ushawishi mbaya ? π€§ mema au mabaya ?
Sasa acha nikushauri.Wowote ule but ana ushawishi mkubwa
π―π€Kipimo cha Kwanza Kwa mwanaume ni kumhudumia Mkewe. Yaani ukitaka kujua Fulani ni Mwanaume wewe kaangalie familia yake.
Mtazame Mkewe, kisha Watoto alafu majibu utayapata.
π―π€mwanaume anahitaji Utulivu yaani Amani.
π―π€Onyesha jinsi unavyofurahia penzi lake. Mwambie ni mtamu
" Tengeneza figa ya kimodo, usile sana hasa mafuta mafuta , jua kuzungusha uno"Sasa acha nikushauri.
ushawishi ndio mnao lakini Akili sasa changanya na biashara
Kwanza Acheni Tamaa, acha tamaa usitake kumfilisi mtu. πππ
Tengeneza figa ya kimodell, usile sana hasa mafuta mafuta.
Jua kuzungusha uno.
Alafu unasema wife mwenye mauno, au mauno ya wife, au ukiwa na wife ni baraka.
π―π€Sio umvalishe alafu wewe uwe mchafu mchafu. Nyuka pamba, nyoa vizuri, nukia., Ongea kijentromen. Tembea kitasha,
Iddi Makengo yule jamaa ni mshauri wenu mzuri sana hasa kwa wanawake vichwa maji.Mwanzoni ulikuja na gia ya kuwapondea Wanawake, ulivyoona Idd Makengo na Chris Mauki wanajipakulia tu minyama umebadili gia angani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kila la kheir utawaokota sana tu.
π―π€mshauri, uwe Mwalimu wake, director wake
Sema leo tupo kwa wanaume kusifia wake / partner zenu mkuu ngoja tumalizane nahili kwanza! Ila ushauri nimeuchukua πSasa acha nikushauri.
ushawishi ndio mnao lakini Akili sasa changanya na biashara
Kwanza Acheni Tamaa, acha tamaa usitake kumfilisi mtu. πππ
Tengeneza figa ya kimodell, usile sana hasa mafuta mafuta.
Jua kuzungusha uno.
Alafu unasema wife mwenye mauno, au mauno ya wife, au ukiwa na wife ni baraka.
Wacha weee ππ,, uzuri kwenye maandishi sioπππlee we ni mzuriπ
au nadanganya
shepuπWacha weee ππ,, uzuri kwenye maandishi sioπππ
Watu mna macho ya rohoni πππ,,, mnaona mashepu hadi kwenye maandishi πππ€£π€£π€£shepuπ
kivipi??An extreme case of simping syndrome! πΆπΏββοΈπΆπΏββοΈπΆπΏββοΈ