Mwanamke ukimwambia ni mzuri na ukampa furaha anakuwa Mzuri

Umeongea fact mzee mtibeli shida ni hawa wake zetu ni majeuri sana hata ule moyo wa kuwafnyia hayo mambo unapotea kiburi yeye, lugha chafu yeye so tunawaacha tu wawe rough ili watulie vizuri nyumbani.

Mwanamke Jeuri nilishasemaga unafukuza na usisubiri vikao wala mshauri.
Wewe ni Mwanaume usikubali uendeshwe na mawazo ya kijinga Wakati wewe tayari unaona familia yako Ipo mashakani
 
Nimeshapata Nondo kumbee [emoji2296][emoji2296]
 
Napinga nini?
Nilishakuambia Ulimwengu wangu na wako ni kama mbingu na ardhi. Huwezi kunipata Anita
Ulichokua unapinga nini zamani kuhusu kumhudumia mwanamke..

Mawili;
1.Spana tunazokupiga zinakuingia unaanza kubadilisha mindset

2.Unapenda attention/attention seeker unaweza kuja na topic wanawake waende topless,kisha kuja na topic wanawake wavae kwa kujistiri, just to get attention, you are sick robert...
 
Mwanzoni ulikuja na gia ya kuwapondea Wanawake, ulivyoona Idd Makengo na Chris Mauki wanajipakulia tu minyama umebadili gia angani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Kila la kheir utawaokota sana tu.

Watibeli hatufanyi vitu ili kutaka Sifa au faida ya kama unavyofikiria.
Ninaandika kuifanya jamii iwe Bora na sio jamii inifanye kuwa Bora.
 

Nafikiri upo sahihi Kwa mtazamo wako.

Ila kiuhalisia uko mbali na Ukweli.
Endelea kufikiri hivyohivyo Mkuu, ndio namna Akili yako inavyokuongoza. Sio kosa.
 
Yaani shida ni kale kashimo nijitese hivyo ?
Siko tayari kufika mbinguni nimekondeana kisa mtoto wa watu .

MKE ni zaidi ya shimo.
Halikadhalika na Mume.
Siku ukioa utagundua kuwa hata Hilo shimo lenyewe utalifanyia kazi Kwa muda machache ukilinganisha na kampani na mambo mengine.

Huoi MKE au huolewi Kwa sababu ya Sex tuu.
 
Aweeeeehh🔥🔥🔥🔥uwaa tunawiri si mchezooo...leo umesemaa yoteee😍😍
 
Mwanaume huwa hafundishwi hayo yote huwa anajikuta tu anafanya kama tu mwanamke anajitambua ila akizingua tu inakula kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…