Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Hayanaga formula,Hapo vip!!
Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda wakifikiri ndio njia ya kuolewa kumbe ameamua mwenyewe kuwa single mother kwasababu mwanaume anamuoa mwanamke anayependa..mazingira haya imewafanya wanawake wengu wawe single mother mtaani.
Sasa ipo hivi:ukiwa na mwanaume unayempenda maana yake wewe ndio utakuwa mtumwa kwenye mahusiano,kwa kufanya kila namna ili umridhishe huyo mwanaume..jamaa kwa mazingira haya anakuwa amerelux na atakuwa msichana anayependa na anamuhudumia vizuri.
Ukiwa na mwanaume anayekupenda maana yake yeye atafanya kila njia akufanye kama malkia kwenye maisha yake..na tafanya nafasi yake kisasa kama mwanaume.Pia uwakika wa kuolewa na kutimiziwa majukumu na kupendwa kama mwanamke itafanikiwa kwa 90%
Bibli inasema mwanaume mpende mkeo na mwanamke muheshimu mumeo,maana yake chenye nguvu ndio inatakiwa kikipende kidhaifu,hata Mungu alipenda mwanadamu ndio maana akamtoa mwanye Yesu kristo ili aje amuokoe mwanadamu.
Wenye akili na ufahamu mkubwa ndio watakuelewaNi kweli naona wanawake wanahangaika na kuteseka Sana baada ya ndoa kwa kujifanya wamependa wao na kuibukia mikononi mwa wasanii wanaokwenda saluni za kike kama wanawake kupaka kujichubua na kuweka dawa nyqele wanatuacha sisi wenye lipua kama baba ........vo lakini tuna mapemzi ya dhati na mkwanja tunao na tunajua kutafuta
Dah mkuu sometime kuishi na mtu usiyempenda kwa mwanaume ngumu sana ila wanawake wanaweza kuishi na yeyote hata kama jini.Mie binafsi ni marufuku kuoa mwanamke ninae mpenda sana.. yeye ndio anaoaswa kuwa amekufa na kuoza kwangu
Hapo vip!!
Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda wakifikiri ndio njia ya kuolewa kumbe ameamua mwenyewe kuwa single mother kwasababu mwanaume anamuoa mwanamke anayependa..mazingira haya imewafanya wanawake wengu wawe single mother mtaani.
Sasa ipo hivi:ukiwa na mwanaume unayempenda maana yake wewe ndio utakuwa mtumwa kwenye mahusiano,kwa kufanya kila namna ili umridhishe huyo mwanaume..jamaa kwa mazingira haya anakuwa amerelux na atakuwa msichana anayependa na anamuhudumia vizuri.
Ukiwa na mwanaume anayekupenda maana yake yeye atafanya kila njia akufanye kama malkia kwenye maisha yake..na tafanya nafasi yake kisasa kama mwanaume.Pia uwakika wa kuolewa na kutimiziwa majukumu na kupendwa kama mwanamke itafanikiwa kwa 90%
Bibli inasema mwanaume mpende mkeo na mwanamke muheshimu mumeo,maana yake chenye nguvu ndio inatakiwa kikipende kidhaifu,hata Mungu alipenda mwanadamu ndio maana akamtoa mwanye Yesu kristo ili aje amuokoe mwanadamu.
We ndio hutaki wenzako wamefuata hiyo kanuni na wameshaolewa na wanaenjoy ndoa zao..na watunza kwelikweli.Hatutaki
Single mother poleUjinga tu
Mkuu wanaume mambo ya kuusikiliza moyo yaliisha toka mwaka 47.Dah mkuu sometime kuishi na mtu usiyempenda kwa mwanaume ngumu sana ila wanawake wanaweza kuishi na yeyote hata kama jini.