Mwanamke umpendaye anapokuacha, ufanye nini upone?

Mimi nikiwa na mwanamke natimiza majukumu yangu kama mwanaume, siku akiondoka akitegemea ntamlilia hiyo sina. Kuna yupo tulipendana sana, tulidumu muda mrefu mpaka familia zetu zikaelewa tumependana. Siku aliposema anasepa wala sikumlazimisha hiyo ilikuwa 2020, lakini mpaka leo anapiga simu turudishe mambo yalivyokuwa mwanzo, kila wiki kama mara tatu anapiga akitaka turudishe mambo sawa. Na mimi situmii social media yoyote, zaidi ya instagram ambapo napost biashara zangu, maana nafanya biashara na watu wa mataifa mbalimbali, na instagram imenisaidia sana kuinteract nawatu. Na sinaga mambo ya kupost picha zangu ni kazi only,hata Whatsapp sipost chochote, kwa hiyo hajaniona in two years.
Wanaume wengi mnakosea kwenye kutumia nguvu nyingi mwanamke akuelewe, mpaka anakupanda kichwani anakujibu hovyo. Cha msingi wewe timiza majukumu yako (kama kumtomba mtombe haswa, kama kumspoil mspoilhaswaa) usipoteze muda wako kumkeep kwenye mahusiano, kama anaona umuhimu wako atastay. Mkipishana akawa kiburi let her go man, you aint born with her in the first place.
On the side note, everything is temporary, dont waste your time keeping everything and everyone in your life. So enjoy it while it lasts.
 
Niliwahi kupitia hatua zote hizi na alijiona nuksi kweli
 
nimekupata mkuu,leo asubuhi nimepiga simu nikajibiwa hataki mazoea,life must go on,imagine mtu uliyempenda kwa miaka aje tu aseme hataki mazoea alafu kisa ni kidogo sana
 
Um
Umeongea vizuri mkuu japo umetumia lugha kiasi isiyofaa!
 
Hahahaha unahakikisha kala kashiba halafu show inaanza[emoji28]
Ewaaaa kama ni night unaichapa weeee mishale ya saa nne hapo mpaka sita ivi, unaamka nayo saa kumi hapo , unakuja unaichapa 12 Alfajiri, u naingia zako job, unaiacha Imejilalia [emoji23][emoji23]

Hayo ndo matumizi sahihibya Mbususu kama hizo.
 
Asilimia kubwa wanaume wanaojiua kisa mapenzi walikua na mpenzi mmoja
 
Ngoja kwanza nifanye kazi,nipate pesa halafu nitasoma hii habar vzr
 
Mama Samia kwenye hotuba yake Moja alisema ni vigumu Sana Kwa mwanaume kuacha alipozoea Kula kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtego wa mwanaume upo kwenye Kuoa.. mwanamke hata kama ni mbaya ukimzoea itakula kwako siku mkiachana.

Sema all in all jinsi utakavyokutana na ladha tofauti ndivyo utazidi kuona vile once upon a time ulikuwaga bonge la fala..
 
Mrisho mpoto kwenye moja ya mashairi yake alisema(GA) "kuanza upyasiujinga"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…