Mwanamke umpendaye anapokuacha, ufanye nini upone?

Mwanaume, ni marufuku kulialia kwa mwanamke hata Kama huko nje umeumizwa.

Alichofanya Mchaga ni kuuza uanaume wake mbele yako wewe, akitegemea huruma !!!.

Na wewe sasa ndo umeamua kutojali licha ya kilio ????

Alichopaswa kufanya ni kujirudi kwa ukoloni uleule !!!.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]skia hizi mbinu zenu nakubali zinafanya kazi sana
Ila Kuna wanawake hazifanyi kazi kabisa uje kishujaa au kikondoo huwezi kunipata...
Mi mwenyewe pigo zangu Kama mwanaume nakuacha kimya kimya na huwa simlilii mtu na sirudigi nyuma unaona sasa hakuna mbinu itafaa hapa
Situmii hisia ni akili zaidi
 
Mwanaume Makini, Hucheza na Vitu viwili tu kwa mwanamke

1-Akili yake.

2-Hisia

Inategemea ucheze na kitu gan kwa wakat gani !!.

Yaan ukiona Mwanaume Ana kulilia ,ohooo baby usiniache,baby nakupenda weee TU, Baby nisameheeee ,baby nimekosaaa, nmekosaa mimi, nimekosaaa[emoji5][emoji23][emoji23][emoji23]

Mpige vibao vya usoni umwambie "Heee wewe Mimi sio mama yako"!!.
 
Ukimtoa mwalimu NYERERE kwenye hii nchi wewe ni mtu wa pili mwenye manufaa kwenye muhimili mkuu wa nchi hii.. shikamoo nyingi kaka MKUU
 
Kuna mtoto wa ma mkwe analialia huko wasap nimefanikiwa kumpiga na kitu kizito
Na yeye alikuwa mjanja mjanja lakini kasalimu amri[emoji1376]
Hapa wanapeana moyo na maujanja yote ila inbox wanalia lia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me najibu kulingana na kichwa Cha Uzi sio kilichoandikwa
Mwanamke akikuacha tembea na rfk ake maan dawa ya moto ni moto
 
Hi moja Kati ya nyuzi nzuri nilizowahi kuzisoma humu Jf.Hongera Sana mkuu carlos kwa kutuletea ujumbe mzuri.
 
What
Mkuu nakubaliana nawe ila tambua you can't outrun things forever. No matter how badass you're, there always someone than you. Ipo siku utaingia 18 na utalia kwa kurusha miguu kabisa
What!
 
Nahitaji nikutafute mkuu huu ni uzi wa mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…