Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Kwani mtoa mada amesema shemeji hampendi mumewe?Kwanini uishi na Mtu usiyempenda?
Hivi hamuoni matukio ya maafa kila siku sababu ya usaliti wa ndoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mtoa mada amesema shemeji hampendi mumewe?Kwanini uishi na Mtu usiyempenda?
Hivi hamuoni matukio ya maafa kila siku sababu ya usaliti wa ndoa?
Umeona eeh?Sio kila kitu mnapewa, mleta mada hajui tu.Kuna vitu huwa mnataka na wanaume wachache ndo hutoa na ni kwa siri sanaaaa hutolewa na ni vitu adimu
Kama huku nilipo kuna shost ananiombaga kitu flani aaah yani amechanganyikiwaaa vile nampa!
Wajibu wapiHivi alishajibu hili eeh???
Umeuliza swali zuri sana!
Napenda sana kusikia habari za kishujaa kama hizi. Safi sana mkuuMwanamke hajawahi kuekeweka anataka nini kwenye ndoa/ mahusiano.
Nakumbuka utawala wa Raisi Jpm kuna rafiki yangu kipenzi sana, alipata bahati ya kuajiriwa usalama wa Taifa hivyo alikuwa akisafiri sana na msafara wa rais kabla ya rais kwenda sehemu yeyote wao walikuwa wanatangulia kwanza.
Wenyewe wanasema kusafisha njia, sasa rafiki yangu huyu ni mwanandoa ameowa muda tu ila bado hawajabahatika kupata mtoto.
Jamaa anampenda sana mke wake anatunza kweli kweli licha ya kutopata mtoto kwa muda mrefu, siku moja akiwa katika safari zake za kikazi huko mkoani mkewe pigia simu shemu kuna tatizo hapa nyumbani nakuomba tafadhali.
Nikasema poa nikitoka kwenye mishe zangu nitapitia, baada ya kutoka kwenye mishe zangu nikaunga moja kwa mpaka kwao maeneo ya makumbusho pale kuna nyumba zao bwana.
Nikafika pale mida ya saa 12 jioni, walikuwa wakiishi wao wawili tu hivyo nilimkuta shemu peke yake sikuwa na shaka kwa kuwa tulikuwa tukiheshimiana sana.
Baada ya kufika na kupiga stori mbili tatu, ikabidi nimuulize shemu hembu niambie kuna shida gani uliyoniitia? Akabakia kucheka tu ooohh unajua shemu nimeona nipo peke yangu nikaona uje unipe kampani.
Basi bhana muda ukaenda saa mbili hii hapa, pale ni kama nyumbani wakati yeye yupo chumbani nikasema ngoja niende jikoni nipate japo msosi.
Wakati nikiwa jikoni aiseeeh kwenye maisha yangu sikuwahi kutetemeka kama hii siku, bi dada kaenda kujipara kaja ananukia kaja na kanga tu mbele ya na kuanza kunishika shika na kuniambia maneno ya kimahaba.
Shemu ni muda sasa nimekuwa nikiteseka juu yako, aiseeeh, mapigo ya moyo yalienda kasi, tupo wawili gorofa ya pili pametulia tuli, shemu mwenyewe bomba hatari, nilisema hapana shemu haiwezekani nilitoka nduki na kuondoka zangu.
Kuanzia siku hiyo mpaka leo hanisalimii mimi huwa namsalimia pindi tunapokutana ila yeye huwa haitikii, rafiki yangu sijawahi kumwambia chochote hadi leo hii. Aiseeeh nimeowa ila wanawake [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mwanamke hajawahi kuekeweka anataka nini kwenye ndoa/ mahusiano.
Nakumbuka utawala wa Raisi Jpm kuna rafiki yangu kipenzi sana, alipata bahati ya kuajiriwa usalama wa Taifa hivyo alikuwa akisafiri sana na msafara wa rais kabla ya rais kwenda sehemu yeyote wao walikuwa wanatangulia kwanza.
Wenyewe wanasema kusafisha njia, sasa rafiki yangu huyu ni mwanandoa ameowa muda tu ila bado hawajabahatika kupata mtoto.
Jamaa anampenda sana mke wake anatunza kweli kweli licha ya kutopata mtoto kwa muda mrefu, siku moja akiwa katika safari zake za kikazi huko mkoani mkewe pigia simu shemu kuna tatizo hapa nyumbani nakuomba tafadhali.
Nikasema poa nikitoka kwenye mishe zangu nitapitia, baada ya kutoka kwenye mishe zangu nikaunga moja kwa mpaka kwao maeneo ya makumbusho pale kuna nyumba zao bwana.
Nikafika pale mida ya saa 12 jioni, walikuwa wakiishi wao wawili tu hivyo nilimkuta shemu peke yake sikuwa na shaka kwa kuwa tulikuwa tukiheshimiana sana.
Baada ya kufika na kupiga stori mbili tatu, ikabidi nimuulize shemu hembu niambie kuna shida gani uliyoniitia? Akabakia kucheka tu ooohh unajua shemu nimeona nipo peke yangu nikaona uje unipe kampani.
Basi bhana muda ukaenda saa mbili hii hapa, pale ni kama nyumbani wakati yeye yupo chumbani nikasema ngoja niende jikoni nipate japo msosi.
Wakati nikiwa jikoni aiseeeh kwenye maisha yangu sikuwahi kutetemeka kama hii siku, bi dada kaenda kujipara kaja ananukia kaja na kanga tu mbele ya na kuanza kunishika shika na kuniambia maneno ya kimahaba.
Shemu ni muda sasa nimekuwa nikiteseka juu yako, aiseeeh, mapigo ya moyo yalienda kasi, tupo wawili gorofa ya pili pametulia tuli, shemu mwenyewe bomba hatari, nilisema hapana shemu haiwezekani nilitoka nduki na kuondoka zangu.
Kuanzia siku hiyo mpaka leo hanisalimii mimi huwa namsalimia pindi tunapokutana ila yeye huwa haitikii, rafiki yangu sijawahi kumwambia chochote hadi leo hii. Aiseeeh nimeowa ila wanawake 🙌🙌🙌🙌🙌