Mwanamke unapewa kila kitu macho juu juu ya nini?

Sio kila kitu mnapewa, mleta mada hajui tu.Kuna vitu huwa mnataka na wanaume wachache ndo hutoa na ni kwa siri sanaaaa hutolewa na ni vitu adimu

Kama huku nilipo kuna shost ananiombaga kitu flani aaah yani amechanganyikiwaaa vile nampa!
Umeona eeh?
 
Napenda sana kusikia habari za kishujaa kama hizi. Safi sana mkuu

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 

Nakuelewa vyema sana!

Ila kudhani kuwa kumpa Ke kila kitu ndio kutulia kwake na makosa, sababu wanaadamu kwa ujumla wetu hatukuumbwa kuridhika.

Kama alivyowahi sema mwanafasihi Fyodor Dostoevsky kuwa โ€˜Kama ukimpa mwanaadamu kila kitu anachohitaji akawa hana kazi nyingine zaidi ya kuzaliana tu kitu atafanya ni kuwa mbunifu katika kutengeneza matatizo mapyaโ€™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ