Mwanamke, unaweza mwambia mwanaume aje kwako na mkafanya sex?

Super women 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
5,164
Reaction score
6,540
Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.

Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.

Tutafanyia kwako tu
 
Aaah
 
Nakuunga mkono!
 
Tuambie haupo serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…