Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
Nitaishi wapi sasa!!!Kwahyo nisipolipa kodi hutaish semen mnaogopa kutakutanisha malory parking
Kama mahala ni kwako plus kod sina mamlaka hayo ila.Kama nmetoa pesa yangu lazma nile mzigo
hahaha sio kwa point hizo brother, salute.Kwani papuchi itabadilika mkifanyia hapo nyumbani?!
Au itaongezeka sukari so huyo jamaa atafaidi sana!!?
Nyie ndio mna shida haiwezekan nikuhudumie then uanze kuweka mashartNitaishi wapi sasa!!!
Acheni hizo bwana.
Then why iwe shida if I am the only man in houseHamna hata kugonganisha malori dear
Unataka nikamgegede wap sasaKwani huwezi kulipa kodi bila ya kumgegeda kwake
Kwahiyo kama unanihudumia basi sipaswi kupanga jamani!!!Nyie ndio mna shida haiwezekan nikuhudumie then uanze kuweka mashart
Kuna maana gan ya kuhudumia kama unapanga do's and donts
Kwann uwaze kuwa tukiachana na wewe ukija kwangu tukiachana na mie nionekane kiwembeKwahiyo kama unanihudumia basi sipaswi kupanga jamani!!!
Leo nakudate wewe nakuleta kwangu, kesho tumeachana namleta mwingine duuuuuh!! Hapana jamani.
Nishagundua ww ni mvivu wa kufua, unaogopa jamaa akikuchapia kwako utakua ukipata kibarua cha kubadili shuka mara kwa mara...Hata sijui
Ukigoma na kodi si inasitishwa tu ujilipie mwenyeweMimi huo ni msimamo wangu kabisa. Hutaki basi,
Lazima niwaze, kwani nina hati miliki nawe? Wewe kama kwako unaruhusu its okey, sio lazima msimamo wangu uwe wako.Kwann uwaze kuwa tukiachana na wewe ukija kwangu tukiachana na mie nionekane kiwembe
Fair game own ur place and weka sheria no one will bother u
By tha way Kwan nikija hapo kwako watajuaje kama umegegedwa au utaenda kusimulia nikitoka
Nilitaka niulize swali kama hilo pia[emoji28][emoji28]Unawaokota wapi hao walipe kodi na sex uwapangie pakufanya du asee huwa mnawaokota wapi
mmmmh itakuwa ngumu saana, na hakuna mwanamke mwenye uwezo wa kufanya hivyo! kama wapo bac ni 0.0000000001%Kuna wanawake wengine utaona yeye ndo ana chumba lakini haishi kuleta wanaume humo chumbani kwake, mimi naona sio picha nzuri.
Mimi binafsi sipendelei kwa mfano, nina mpenzi wangu alafu aje kwangu alafu tusex. Huwa sipendi kabisa. Atakuja kwangu tutapiga story nk. Lakini kama ni sex, tutafanyia kwingine. Hata kama unanilipia kila kitu.
Tutafanyia kwako tu
Acha dharau wewe dada, wengine hutujui wala hatujawahi kukudharau. Jiangalie aseeSijamuona hata mlipa kodi humu. Naona vidume suruale tu. [emoji53][emoji53][emoji53]