Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
Dada hebu kuwa serious kidogo. Kodi nikulipie na hutaki nikufanye humo humo kwako unaficha nini? Ukome we....mi utanilipa pesa zangu na siku hiyo hiyo biashara yetu inaisha. Usilete mambo ya ajabu hapa.
Kama unajilipia mwenyewe naweza kukusikiliza. I don't bargain, I negotiate.
Kama unajilipia mwenyewe naweza kukusikiliza. I don't bargain, I negotiate.