Mwanamke, unaweza mwambia mwanaume aje kwako na mkafanya sex?

Mwanamke, unaweza mwambia mwanaume aje kwako na mkafanya sex?

hata mimi binafsi huwezi kuja kujamba jamba kwenye chumba changu kwakweli ,am sorry man!
 
IMG-20170504-WA0079.jpg

😎😎😀😀😀😀
 
Okay .... then upo sawa, ni kanuni zako za maisha, ni tabia njema. Ila mimi ningekushauri asije kabisa.... kesho na kesho kutwa wanaume hawaeleweki, anakukacha, ukipata mwingine ukaleta tena haipendezi.///
sawa
 
We hujui kwann anakuja kwako !!!!! Akiamua uje kwake atagonganisha magar bora awe anaitwa anaamua aende kwa nan kulko wewe uende kwake mtakutana lundo mlangon na mapenzi yenyewe ndo haya ya hainaga ushemeji
Kwake naenda mda wowote. Ninaotaka
 
Hivi wewe umewahi kuwa na mtu mkapendana kweli kweli?? Sex is every where mammy. Tena hakuna sex inayo mfikisha kilele mwanamke kama ile anapokuwa at easy. Hana fikra ya kujiwa na mtu ghafula asiye mfahamu.
Nikuulize; Mkiwa faragha na huyo mtu wako, ukasikia hodi jamani ni mimi flan, si kwa ujasiri tu unamwambia rudi kesho nipo faragha?? Mbona mna maneno mbofu? Popote nikimhitaji my something wangu, sijali ni wapi.
Lakini kweli. Nakumbuka. Nilishudia class mates wanayonyana dushe darasani. Sijahadisiwa. Niliona kwa macho yangu
 
Back
Top Bottom