Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mechi za ugenini kama hizo ni tamu sana dear!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweeh!! Sio unalipa kodi ili nipate pa kuishi!!!Inawezekanaje unipe hayo mashart moja Kat ya umuhimu wa kulipa kod ni hilo
Zinazuilika kabisa.Hisia zinapopanda ni ngumu sana kuzizuia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hata mimi binafsi huwezi kuja kujamba jamba kwenye chumba changu kwakweli ,am sorry man!
Kwahyo nisipolipa kodi hutaish semen mnaogopa kutakutanisha malory parkingMweeh!! Sio unalipa kodi ili nipate pa kuishi!!!
sawaOkay .... then upo sawa, ni kanuni zako za maisha, ni tabia njema. Ila mimi ningekushauri asije kabisa.... kesho na kesho kutwa wanaume hawaeleweki, anakukacha, ukipata mwingine ukaleta tena haipendezi.///
Kwake naenda mda wowote. NinaotakaWe hujui kwann anakuja kwako !!!!! Akiamua uje kwake atagonganisha magar bora awe anaitwa anaamua aende kwa nan kulko wewe uende kwake mtakutana lundo mlangon na mapenzi yenyewe ndo haya ya hainaga ushemeji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe utakuwa wale wakupiga makelele wakati wa mgegedo unaogopa majirani zako.
Lakini kweli. Nakumbuka. Nilishudia class mates wanayonyana dushe darasani. Sijahadisiwa. Niliona kwa macho yanguHivi wewe umewahi kuwa na mtu mkapendana kweli kweli?? Sex is every where mammy. Tena hakuna sex inayo mfikisha kilele mwanamke kama ile anapokuwa at easy. Hana fikra ya kujiwa na mtu ghafula asiye mfahamu.
Nikuulize; Mkiwa faragha na huyo mtu wako, ukasikia hodi jamani ni mimi flan, si kwa ujasiri tu unamwambia rudi kesho nipo faragha?? Mbona mna maneno mbofu? Popote nikimhitaji my something wangu, sijali ni wapi.
Kama hakupi hata mia. Huyo hata ndani humkaribishiWHAT? anajua bei ya kupanga nyumba ? akafanye nin akati hata senti yake hanipi ...apite kushoto yaani ....amesikia kwangu ni guest house au ?
Sijamuona hata mlipa kodi humu. Naona vidume suruale tu. [emoji53][emoji53][emoji53]Basi kodi itakuwa imeisha..... Sema ukweli ulipiwe kodi vidume tupo wengi Hum.