Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Tatizo hamjatulia ndio maana mnaogopa, mwanamke ana wanaume zaidi ya kumi kwa mwezi kila jamaa anataka apande hata mara mbili tatu sasa akiwaleta ghetoni kwake silazima majirani wamuone kahaba!Lazima niwaze, kwani nina hati miliki nawe? Wewe kama kwako unaruhusu its okey, sio lazima msimamo wangu uwe wako.
Hayo ndio masharti, kama hautaki basi hata sikushikii bunduki unilipie kodi as i can manage on my own pia.
Kwahiyo point yenu inakua sio kwamba hamtaki kupandwa kwenye vyumba vyenyu bali mnafanya ukahaba kwa kujificha.