Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Wakati mwingine huwa naamini akili za baadhi ya wanawake hazipigi reverse.
 
Never make permanent dicisions on temporary feelings ila kinachowaponza wanawake ni kupenda sana pesa na haya ndo matokeo yake
 
'She is a big liar' you don't have to accuse me or judge me. If you dont have anything to help just brush it off.
Una miaka mingapi kwenye ndoa? Kabla hamjaona mlifahamiana kwa muda gani? Nataka nikupe ushauri sahihi
 
Sasa boss kwa case ya mtoa mada akiwa real unadhani hii ndoa itamaliza hata mwaka bila Divorce? Nina hakika hata sex inampa tabu sana ku cope nayo maana hampendi jamaa na hela imeshakuwa haina msaada katika hilo!
Kwa case hii sijatoa solution. Mtoa mada ana Uhuru either apritend au aweke tu wazi kiwa hafurahii mahusiano. Aanze ambele
 
VP huko mtaani ushatongozwa na mtu yyte ambaye una mzuka nae.....nijibu hapa nikushauri kitu...
 
Kila siku huwa nasemaga wanawake ni viumbe wa ajabu sana....pengine angekutana na jamaa kamla tigo basi angempenda balaa....ama angekutana na wanaovaa suruali kata K....
 
Hv nilishawahi kukwambia ww una akili...!
Unajitaftia balaa aisee shukuru umempata anayekupenda na ni responsible father hayo mengine potezea. Seems ulimpendea hela sasa ulicho kitamani umeona upuuzi. Ndo mana mimi first principle yangu ni love then mengine.
 
Utaoaje machangupaka ww...
 
Unatamani umpendaje hebu tueleze. Akikushika huko chini hapalowani?
Ha haaa hili swali lako limenifikirisha...

Ila hatakama pataloa sio kwa fasta hivo coz hisia zake ziko mbali
 
Wazungu ndio wanawezaga haya mambo kuwaambia wenza wao....I don't love u....
 
Jaribu kutoka naye muwe peke yenu pamoja angalia mov za mapenzi hasa love story atajifunza kumpenda kingine ucmkumbuke Yule wa zamani inaonekana kuna mtu unampenda na ulikuwa naye kwenye mahusiano nyuma jaribu kufuta hisia za nyuma kama una vitu alikuachia vitupe jitoe kwa mpenzi wako hasa mkiwa faraghani kama hakufikishi ongea naye aongezee vile unataka kama hayuko romantiki mfundishe cc binadamuu tunaweza mpenda mtu yoyote ila kama akili yako umeshaiambia humpendi na hutampendi itune akili yako kwanza utampenda naamini saivi unasema2 humpendi ila cku akipata wa pemben utajisikia vibaya sana na moyo utakuuma sana au cku ukiachana naye
 
Nashukuru Mungu nlikwepa huo mtego wa kuolew na mtu nisiye na hisia nae ,nliamua kuwa na subira hadi nlipompata tunae endana tena nlimpata katika namna ambayo haikua rahisi kuamini... subira ni ibada...pole bibie
Wanawake mna mambo yenu ya kificho sana....mioyo yenu mnaijua wenyewe....ndio maana akina sie tuliamua kuchagua mpenzi beer....my beer never lie,never hold back her love to me when I gotta a drink...
 
Ma dear, tunaishi mara moja katika dunia hii.Kama hakupi amani achana nae katafute wa moyo wako. Nadhani kuna wengi wanampenda hila wewe ndo unawashikia shuka jekundu. Muache na yeye atafute yule Mungu amempangia.
Dah aki nimeshika kichwa
 
Hujawah cheat....
Unataman kujua namna ya kufurahia ndoa yako.

Nn ufanye..... ..


Mwanamke hakuumbwa kumpenda mwanaume .

Mimi nadhan kuna haja ya kujitafakari, huyo ni pepo ndo anakusumbua.

Nakama utacheat ili ujifurahishe while umejiegeza ndoan kwa jamaa.... Icho ni Kichocho.

KAA, ONGEA NAYE.
 
Mimi nifanye nini sasa na njaa inaniuma hahaa ila kiukweli najitahidi sana kukaa mbali nae tatizo huwa tunajikuta tu automaticay tumekutana
Fanya umpende mwenzako. Apo unakuta unamfikiria mtu ambae akufikirii af jamaa anapambana kukuridhisha. Mi kanuni ni moja 2 simpendi mwanamke asienipenda.
 
Sasa utafanyaje mnawatotot wa ngapy ?
 
Ushauri kwa vijana wa kiume wasioowa. ....

Ukitaka ndoa yako idumu na iwe yenye furaha oa mwanamke mwenye hofu ya Mungu na aliyesoma mwisho form four asiyeajiriwa.

Mtoa mada ni living example.
 
YOU CANT MARRY A PERSON YOU DONT LOVE, say the truth you married him coz of his money,bla bla bla bla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…