Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Sio kweli
Reference ya hoja yangu ina sapotiwa na point hizi...

1. The law of demand and supply. Huyo mume demand yake ni ndogo alafu ana higher supply.

Hapa anatakiwa apunguze supply ili demand iongezeke na ata fanikiwa hivyo kwa kutomjali huyu mwanamke, yani amtriti rafu kadri awezavyo walau kwa mwezi tu. Aone kama demand yake haijapanda na intimacy/chemistry kurudi.

2. My experience.

Haya na wewe niletee point zako za kusapoti hoja yako ya "si kweli"!
 
Mimi nifanye nini sasa na njaa inaniuma hahaa ila kiukweli najitahidi sana kukaa mbali nae tatizo huwa tunajikuta tu automaticay tumekutana
Huyu nae anatakiwa apunguze supply yake kwako.

Unamchukulia hivi kwa sababu he is there for you all the time.

Wahenga walisema "usipajali uwepo wake utajali akipotea".

Huyu nae kinachoenda kumkuta ni sawa na cha mume wa mleta mada.
 
Mmeo Hana shida ila ww ndo unashida Kuna obsession nyingii kichwani mwako na Kabla haujakubali kuolewa Ulikua ndo mchepuko wako
Hata Kama alifunga ndoa haraka Kabla haujajipanga ilaa mlikua kwenye uusiano kwa Kipindi flani na mlikua mnaenjoy faragha

Nkushauri najua mjoulus anachapa vizuri tu pia upo vzuri kuvumilia mikiki. Em Acha kufkiria Swala la ndoa kwamba ndo umejifunga Kama instead fkiria Bado upo nae Kipindi unachepuka nae na vitu ulivompa mpaka akakuoa mpee tena zaidi.. Ndoa ni matokeo ila maisha yenu yanapoteza maana na Kuongeza Uhuru baina yenu..
Pambania ndoa yako... Kwa sifa unazompa mumeo ni Kama umepost tangazo hisiaa ni matokeo ya sehemu ndogo Sana kwenye ubongo..
 
Hili ni swala la kisaikolojia zaidi. Wewe huna cha kufanya yeye ndiye anatakiwa aache kukutriti vizuri.

Awe rude kwa miezi kadhaa alafu uone kama hujaanza kumiss u-good guy wake. Siku akianza kukutriti vizuri ndio utaona thamani ya upendo wake kwako.

Na hapo ndio hiyo intimacy itaanza bila kupenda.
 
Ulichokiandika sasa hivi tofauti na kile ulichoandika mwanzo...kupunguza supply naweza kukubaliana na wewe lakini sio kimtreat mtu like shit..hivi unajua kumtreat mtu like shit lakini au umeteleza tu
 
Huyu nae anatakiwa apunguze supply yake kwako.

Unamchukulia hivi kwa sababu he is there for you all the time.

Wahenga walisema "usipajali uwepo wake utajali akipotea".

Huyu nae kinachoenda kumkuta ni sawa na cha mume wa mleta mada.
Apumzike tu sina hata mpango wa kuwa nae
 
Ulichokiandika sasa hivi tofauti na kile ulichoandika mwanzo...kupunguza supply naweza kukubaliana na wewe lakini sio kimtreat mtu like shit..hivi unajua kumtreat mtu like shit lakini au umeteleza tu
Linaweza kuwa neno lenye maana nyingi. Ila nilichomaanisha ni kuto kumjali kupita kiasi, kuwa busy na mambo yake hasa ya kimaendeleo, kuwapa muda mwingi watoto kama wapo.

Umeelewa?
 
Hapo nimekuelewa mkuu sema hiyo 'like shit ' nitakuwa nimeibeba kwa uzito sana haha
Linaweza kuwa neno lenye maana nyingi. Ila nilichomaanisha ni kuto kumjali kupita kiasi, kuwa busy na mambo yake hasa ya kimaendeleo, kuwapa muda mwingi watoto kama wapo.

Umeelewa?
 
Apumzike tu sina hata mpango wa kuwa nae
Mimi nakuangalia tu unavyo jipa moyo teh teh teh eti sina mpango wa kuwa nae aiseee.

We ngoja siku akipotea ndio utaelewa kama huna mpango nae. Au siku akipata demu mkali kuliko wewe alafu akukaushie kabisa ndio akili itakukaa sawa.

Sasa hivi endelea kujipa moyo kwamba huna mpango nae.
 
Mmh kwahiyo jackline ana mapenzi kiduchu kwa mzee mengi, siamini..utaanzaje kumtamani babu yako kimapenzi? Khantwe
 
Ni sehemu gani nimeandika kwamba naishi na mwanamke?
Anyway labda nieleze kwamba umeandika kwamba kosa ni kuonesha kumpenda mwanamke. Sasa nakuuliza Je ikitokea ukaishi na mwanamke utawezaje kukaa nae bila kuonesha unampenda?
 
Seriously, huwa anapiga picha na wadada wazuri wazuri anaokutana nao kwenye kazi zake sijawahi hata kushtuka, halafu kazi yake inamweka busy hatari inaweza kupita miezi hatujawasiliana sijawahi hata kummisi
 
Inawezekana yapo mkuu ila wanasema hakuna binadamu asiye na bei hahaa mimi naamini yapo japo kidogo bwana
Mmh kwahiyo jackline ana mapenzi kiduchu kwa mzee mengi, siamini..utaanzaje kumtamani babu yako kimapenzi? Khantwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…