Mwanamke usiache kazi kisa mwanaume

Mwanamke usiache kazi kisa mwanaume

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Greetings members and guests!!!!!

Napokea malalamiko/Kero/misuguano/sintofahamu n.k kuhusu wanawake kuacha kazi kisa wanaume....

Wadada acheni hizi eti unaacha kazi kisa jamaa kasema acha mwisho wa siku ni kuonewa mpaka kufikishana dawati la jinsia na mahakamani.

Kwani nini mnafanya hivo wanaume sio kila kitu yaani unakimbilia libolo Fc wakati jamaa mwenyewe mshamba tu wakolomije.

Kisa yeye unajiona umemaliza mwanaume mwenyewe sasa, mwanaume suruali kama mimi 😅😅😅 afadhali ya mimi....
 
Halafu kuna huyu anafanya kazi kisha mshahara anamtumia kibeniten
michambocity_20230813_reel_3168371519638446537_2_video_cover_3168371519638446537.jpg
 
Inategemea Mbona Mwigulu alimuachisha kazi mke wake na Wapo happy! Mbona JPM alimwachisha au kazi yake ilishababisha Janeth aache kaziye ya ualimu. Mama Salma wa JK. Je, baada ya kuacha kazi si maisha yanasonga! Msiwe na negative mind kila wakati
 
Kwamba uache kazi ili iweje?

Kwamba kisa mwanaume mshamba tena msukuma ndo maana hutaki kuacha kazi😅.
 
Inategemea Mbona Mwigulu alimuachisha kazi mke wake na Wapo happy! Mbona JPM alimwachisha au kazi yake ilishababisha Janeth aache kaziye ya ualimu. Mama Salma wa JK. Je, baada ya kuacha kazi si maisha yanasonga! Msiwe na negative mind kila wakati
Jamaa wake huyo ni mshamba tena msukuma ndo anampiga vijembe hapa😅
 
Wakati naolewa mama yangu alinambia "mumeo akikuambia Acha Kazi na wewe ukakubali, basi ukatafute mama mwingine....siwezi kuwa mama wa mtoto asiye na akili"
Kwa kweli naishi humo🤣🤣🤣🤣
Aiseee shikilia hapo...

yupo mama mmoja alipata kazi ya serikali enzi hizo kama bibi maendeleo yaan ustawi wa jamii.

limume lake sijui lilikula maharage ya wapi???lilikuwa teacher wa st. ukuda hizi za shule za kishua, yule bibie akaambiwa aandike barau ya kuresign kazi yaan kuacha kazi yaani yule alikuwaga binti miaka kenda na hivi sasa kazeeka maisha yanampiga mume hafundishi tena kule st...

washakula kilomita sasa yule bibie saivi bibi angekuwa anakula mafao yake safi au ungekuta ni kina samia ila tu mume aliamuru akae nyumbani 😍😍😍
 
Back
Top Bottom