Mwanamke Usiingie kwenye ndoa kama una hivi vitu

Mwanamke Usiingie kwenye ndoa kama una hivi vitu

Thubutu!! 😹
Yeye achukue furushi lake moja analoweza kulimudu achome nalo ubani mambo yaishe.!
Urudi home una hamu kinoma ila unakuta mtu kanuna kavimba kinoma babaqe😂bora uishi kama Mimi tu
 
Wapo wadada wa hivo 😄Nenda Wanging'ombe huko wamejaa kibao
😄😄Hakuna aliekosa mapungufu maandiko hayana uhalisia na binadamu tulivo sababu watu tunatabia ya kubadilika Leo tupo hiv kesho vile ni kuvumiliana tu
 
Waliopo kwenye hilo agano wanatamani fursa ya kutoka ila mliopo nje mnatamani kuingia
Wee natania sijatamani Bado Kila nikiwaza kugomewa gomewa na nilivo sipend kusemwa eehh 😂😂😂
Mtu timu yake ikifungwa anakuja kumalizia hasira nyumbani
Akigombana na mchepuko hasira nyumbani 😂😂
 
😄😄Hakuna aliekosa mapungufu maandiko hayana uhalisia na binadamu tulivo sababu watu tunatabia ya kubadilika Leo tupo hiv kesho vile ni kuvumiliana tu
Mara mia mapungufu ya kibaolojia Yale tunaishi nayo na Wala hata hayana shida ila omba Mungu usikutane na Yale ya kitabia ambayo yanabadilika mara Kwa mara
 
Si mbake 😹😹
Atanuna mwanzoni ila baadae atakupa support, wanaume wa siku hizi mnadeka sana.! Ndiomana ndoa mnaziogopa..!!

Kuna muda wanawake tunapenda kubakwa 🤣🤣
😂😂😂
 
Mara mia mapungufu ya kibaolojia Yale tunaishi nayo na Wala hata hayana shida ila omba Mungu usikutane na Yale ya kitabia ambayo yanabadilika mara Kwa mara
Yes ni tabu ni kuomba Mungu tufunge sana na kusali kuoa nowadays ni kuchukua changamoto zako unaongeza na zingine full kuvurugana 😂😂
 
Si mbake 😹😹
Atanuna mwanzoni ila baadae atakupa support, wanaume wa siku hizi mnadeka sana.! Ndiomana ndoa mnaziogopa..!!

Kuna muda wanawake tunapenda kubakwa 🤣🤣
😂😂😂😂uko bia ya ngapi?

Sasa ukikuta mtu kanuna hata mzuka wa kumfyatua upo tena? Si utakua unambinya binya kati kati ya mgongo walau hata 🐕 iende mjini
 
Mara mia mapungufu ya kibaolojia Yale tunaishi nayo na Wala hata hayana shida ila omba Mungu usikutane na Yale ya kitabia ambayo yanabadilika mara Kwa mara
Mapungufu sio shida
Muhimu mtu ajitambue huwez muhukumu mtu Kwa makosa ambayo alishajua na akakubali kubadilika hiyo Haina maana

Mm Huwa najali zaidi mtu anaejua mapungufuyake na akakubali akakiri na akajirekebisha nimegundua Huwa watu wa hivo wanaumia sana na mapito Yao na wakipewa nafas Huwa hawarudii kuliko wa kujifanya wakamlifu wakipata wanavovitaka wanaaanza Kuonyesha rangizao
 
Wee natania sijatamani Bado Kila nikiwaza kugomewa gomewa na nilivo sipend kusemwa eehh 😂😂😂
Mtu timu yake ikifungwa anakuja kumalizia hasira nyumbani
Akigombana na mchepuko hasira nyumbani 😂😂
Akilewa kazi unayo, akiwa Hans pesa, akizinguliwa kazini etc
 
Mm Huwa najali zaidi mtu anaejua mapungufuyake na akakubali akakiri na akajirekebisha
Kuna mapungufu yako binafsi unayajua ww mwenyewe ila wengine hawayajui

Kuna mapungufu yako ww huyajui ila watu wanayajua

Kuna mapungufu yako ww unayajua na watu wanayajua
 
😂😂😂😂uko bia ya ngapi?

Sasa ukikuta mtu kanuna hata mzuka wa kumfyatua upo tena? Si utakua unambinya binya kati kati ya mgongo walau hata 🐕 iende mjini
Niko divai leo huoni muda nilioingia 😹😹
Mshale unasoma 220

Acha kudeka tafuna mahari yako ulimtolea wewe.!! Ma bro mnafeli wapi? 😹
Wewe mbake halafu ulete mrejesho
 
Ndo maana tunakufa mapema mtu miaka 29 majukumu millioni
Ila kunawatuwema sana wanaumepia wanawake
Ukikutana nao unaweza kusema Hawa viumbe ni wa Dunia hii au moyo safi,upendo uaminifu na kilakitu
Lkn Kuna viumbe ukikutana nao unaweza ukalaani hiyo jinsia miak yote
Mm sia experience mbaya sana japo zipo lkn ukweli Kuna viumbe wamebarikiaa kwenye hij Dunia tuombe tukutane nao
 
Niko divai leo huoni muda nilioingia 😹😹
Mshale unasoma 220

Acha kudeka tafuna mahari yako ulimtolea wewe.!! Ma bro mnafeli wapi? 😹
Wewe mbake halafu ulete mrejesho
😂😂😂😂
Nikimbaqa atanifungulia thread siku za wapendanao zikitimia
 
Back
Top Bottom