Mwanamke Usiingie kwenye ndoa kama una hivi vitu

Na huyo mwanamke asiye na tabia zote hizo kwa mwanaume ni โ€œMama yako mzaziโ€
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜Mtoa mda kataja tabia za Wanawake kumi tofauti na tabia zao.

Miss you wifii๐Ÿ˜๐Ÿ˜โค๏ธ
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜Mtoa mda kataja tabia za Wanawake kumi tofauti na tabia zao.

Miss you wifii๐Ÿ˜๐Ÿ˜โค๏ธ
Mwah ๐Ÿ˜˜ my wii

Mjinga huyo anaorodhesha tabia za malaika kwa binadamu wajukuu wa Farao ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Mwah ๐Ÿ˜˜ my wii

Mjinga huyo anaorodhesha tabia za malaika kwa binadamu wajukuu wa Farao ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kwanza Wanaume wa kizazi hiki wanapata wapi nguvu ya kutaka mwanamke mkamilifu kiasi hicho hali ya kuwa wao wana makando kando kibao.
 
Kwanza Wanaume wa kizazi hiki wanapata wapi nguvu ya kutaka mwanamke mkamilifu kiasi hicho hali ya kuwa wao wana makando kando kibao.
Huyo roboti mwenyewe akichoka kutumikishwa anakupiga shoti ukafie mbali ๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Sembuse viumbe vilivyoongea na nyoka msituni, yeye anajua tulikubaliana nini Eden? ๐Ÿ˜น
 
Hivi wewe kwanini uko negative sana na wanawake?
 
Kujishusha limekuwa janga, sikuhizi hata akikukosea uki point madudu yake anakaa kimya, no sorry, no kujishusha . Although si wote but most of them, hi si dalili nzuri sana
 
Kama kweli wakizingatia hiyo namba 5 huu uzi unakosa maana kabisa.

Yote yatasemwa na kushauriwa lakini swala la kuwa na ndoa bora ni maamuzi ya wanandoa wenyewe.
 
Andiko bora sana hili
 
Hiyo #2 mtego kwa wadada wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ