Mwanamke Usiingie kwenye ndoa kama una hivi vitu

Lakini huwa naandika mambo ambayo yapo wazi kwenye jamii tunayoishi,kama hupendezwi itabidi uni-ignore tu ili usiendelee kuziona post zangu.
Jiulize kwa nini iwe wewe ndio unaandika mara kwa mara hayo mambo ambayo yako negative au kwa nini huoni jema unaona mabaya tu..una selection bias...anyway nitakuweka huko kny ignore list lol
 
Huyo roboti mwenyewe akichoka kutumikishwa anakupiga shoti ukafie mbali 😹🀣🀣
Sembuse viumbe vilivyoongea na nyoka msituni, yeye anajua tulikubaliana nini Ed
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jiulize kwa nini iwe wewe ndio unaandika mara kwa mara hayo mambo ambayo yako negative au kwa nini huoni jema unaona mabaya tu..una selective bias...anyway nitakuweka huko kny ignore list lol
Sure mkuu,huu sasa ndiyo muafaka.
 
Si mbake [emoji81][emoji81]
Atanuna mwanzoni ila baadae atakupa support, wanaume wa siku hizi mnadeka sana.! Ndiomana ndoa mnaziogopa..!!

Kuna muda wanawake tunapenda kubakwa [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Muongo.

Mchoyo.

Mbeya.

Mchafu.

Shapeless, suraless na rangiless.

Hao vipi?
 
Bora nioe MBUZI kuliko mwanamke wa kibinadam
 
Shida ni mabinti/wanawake wa sasa hawaoni faida au sababu ya kuingia ndoani kama mali na pesa havijahusishwa.

Huku nje wanafurahia uhuru wa kufanya ngono kujipatia mali,pesa na kuexplore mitindo mbali mbali ya kingono.

Hawataki kurekebishwa wala kubadilika. Wahenga walisema,asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu. Mama wameamua kukaa kando hawatoi elimu, mabinti hawataki kujifunza. Nadhani wamechagua na wapo tayari kupambana na ulimwengu.
 
Godfather Kevin Samuels alikuwa na msemo wake "don't settle for less kings"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…